LEO KATIKA BUNGE MJINI DODOMA, JUMATANO MEI 3, 2017
HomeJamii

LEO KATIKA BUNGE MJINI DODOMA, JUMATANO MEI 3, 2017

Wabunge wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo(CHADEMA) Wakijadili jambo wakati wa kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba ...

MWENYEKITI WA KAMATI YA MAUDHUI YA TCRA VALERIE NDENEINGO AZUNGUMZA NA WAMILIKI WA RADIO NA TELEVISION ZA MTANDAONI ( ONLINE RADIO NA TELEVISION) DAR
THE GUARDIAN LIMITED NAYO YAJISALI MAELEZO; DKT. ABAS AWASIHI WENGINE WASISUBIRI MUDA WA KUFANYA HIVYO KUISHA
UDHIBITI WA UBORA WA MAZAO SULUHISHO LA USALAMA WA CHAKULA

Wabunge wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo(CHADEMA) Wakijadili jambo wakati wa kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 1-Mwenyekiti
 Mwenyekiti  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 2-Mhe.Kairuki akitolea ufafanuzi vyeti feki
 Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Angelina Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 3-Mhe.Kimwele akiongea
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 4-Dk Kugwangala akiongea
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 5-Waziri wa afya akiongea
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 7-Mhe.Bashungwa
Mbunge wa Karagwe (CCM) Mhe.Innocent Bashungwa akiuliza swali  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
OL
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Oliver Semuguruka  akiuliza swali  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
HD
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama,Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Hussein Mwinyi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira  wakifurahia jambo katika  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 13-Mhe Kawambwa akichangia
Mbunge wa Bagamoyo (CCM)  Mhe.Shukuru Kawambwa akiuliza swali  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017. (Picha na Daudi Manongi- Dodoma)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: LEO KATIKA BUNGE MJINI DODOMA, JUMATANO MEI 3, 2017
LEO KATIKA BUNGE MJINI DODOMA, JUMATANO MEI 3, 2017
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/05/PIX-14-Wabunge-wakiteta-jambo.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/05/leo-katika-bunge-mjini-dodoma-jumatano.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/leo-katika-bunge-mjini-dodoma-jumatano.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy