THE GUARDIAN LIMITED NAYO YAJISALI MAELEZO; DKT. ABAS AWASIHI WENGINE WASISUBIRI MUDA WA KUFANYA HIVYO KUISHA
HomeJamii

THE GUARDIAN LIMITED NAYO YAJISALI MAELEZO; DKT. ABAS AWASIHI WENGINE WASISUBIRI MUDA WA KUFANYA HIVYO KUISHA

Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi Leseni za machapisho Mhariri Mkuu wa...

RC MAHENGE: SITAKI KUSIKIA TATIZO LA UPUNGUFU WA CHAKULA WALA NJAA DODOMA
KAMPUNI YA TATU MZUKA NA NAIBU WAZIRI MAVUNDE WAKABIDHI MATOFALI 3000 NA MIFUKO YA SARUJI 100 KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE ZA MSINGI MPYA ZA MBANDE NA MUUNGANO MKOANI DODOMA
HESLB YATANGAZA WENGINE 1,775 WA MWAKA WA KWANZA WALIOPATA MIKOPO



Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi Leseni za machapisho Mhariri Mkuu wa Kampuni ya The Guardian Ltd Jesse Kwayu (kulia) ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e).Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, Thisday, Alasiri na Taifa Letu.


Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Meneja wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Emmanuel Matondo (kulia) wakionyesha Leseni ya machapisho aliyotolewa kwaa ajili ya gazeti la Nipashe mara baada ya kukabidhiwa leo Jijini Dar es Salaam. Utoaji wa Leseni unafuatia muitikio wa wamiliki wa machapisho kuzingatia matakwa ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 kifunga namba.


Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi, (katikati), akielezea jambo wakati wa zoezi la kukabidhi Leseni za machapisho kwa Kampuni ya The Guardian Ltd leo Jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula na kulia ni Mhariri Mkuu wa The Guardian Ltd Jesse Kwayu. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, Thisd
ay, Alasiri na Taifa Letu.


Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi Leseni za machapisho Meneja wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Emmanuel Matondo(kulia) ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, Thisday, Alasiri na Taifa Letu.

Mhariri Mkuu wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Jesse Kwayu na Meneja Sheria na Uhusiano wa kampuni hiyo Bw. Emmanuel Matondo wakiwa wameshika Leseni 10 za machapisho yanayomilikiwa na The Guarid baada ya kukabidhi wa Leseni kumi za machapisho yanayomilikiwa na Kampuni hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike, The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, Thisday, Alasiri na Taifa Letu. (PICHA NA IDARA YA HABARI – MAELEZO)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: THE GUARDIAN LIMITED NAYO YAJISALI MAELEZO; DKT. ABAS AWASIHI WENGINE WASISUBIRI MUDA WA KUFANYA HIVYO KUISHA
THE GUARDIAN LIMITED NAYO YAJISALI MAELEZO; DKT. ABAS AWASIHI WENGINE WASISUBIRI MUDA WA KUFANYA HIVYO KUISHA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiphUzvmpzgDk11CHyk2P4UkSCaVv9xDNxlullH_pCvZSILuc7cHalNEfCq0464iZtg7e9Jv0b0X2HRfzM89HgiK2MVLM9-3myP6LDOio4zag88qVf38FpjVh6u7TUfqgQLeu1pnNKQF1I3/s640/G2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiphUzvmpzgDk11CHyk2P4UkSCaVv9xDNxlullH_pCvZSILuc7cHalNEfCq0464iZtg7e9Jv0b0X2HRfzM89HgiK2MVLM9-3myP6LDOio4zag88qVf38FpjVh6u7TUfqgQLeu1pnNKQF1I3/s72-c/G2.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/the-guardian-limited-nayo-yajisali.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/the-guardian-limited-nayo-yajisali.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy