KIWANDA CHA SARUJI CHA SIMBA CEMENT YAIPIGA TAFU JUKWAA LA WAHARIRI MILIONI 1
HomeJamii

KIWANDA CHA SARUJI CHA SIMBA CEMENT YAIPIGA TAFU JUKWAA LA WAHARIRI MILIONI 1

Tanga, KIWANDA Cha Saruji cha Simba Cement Tanga, kimesema moja ya faida yake imekuwa ikiipeleka katika masuala ya kijamii yakiwemo, Afya,...

WADAU WA ELIMU WAKUTANA KWA SIKU MBILI DAR ES SALAAM KUJADILI ELIMU YA JUU NCHINI
TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCI) IMEOKOA KIASI CHA SHILINGI MILIONI 580 FEDHA ZA SERIKALI
RC PAUL MAKONDA AKIHUTUBIA WAKAZI WA KEKO MCHANA HUU



Tanga, KIWANDA Cha Saruji cha Simba Cement Tanga, kimesema moja ya faida yake imekuwa ikiipeleka katika masuala ya kijamii yakiwemo, Afya, Mazingira na Elimu.
Akizungumza mara baada ya Wahariri (Jukwaa la Wahariri TEF) kumaliza ziara ya kutembelea kiwanda cha Saruji kujionea shughuli ambazo zinafanywa, Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Renhardt Swart, alisema moja ya faida huipeleka kwa wananchi.
Alisema wamekuwa wakisaidia madawati, mifuko ya saruji na majengo pamoja na vyoo kwa shule ambazo zimekuwa zikihitaji msaada.
Akikabidhi shilingi milioni 14 kwa Jukwaa hilo, Swart alisema pesa hizo zinaweza kuwasaidia katika majukumu yao mbalimbali ukiwemo mkutano mkuu ambao utafanyika kesho Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Kwa upande wake, Makamo Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) Deudas Balile, alisema amefurahishwa na uzalishaji wa Saruji pamoja na mipango kabambe kiwandani hapo.
Akizungumzia msaada huo, Balile alisema utasaidia katika masuala mbalimbali ya Jukwaa hilo ikiwa na pamoja na mkutano mkuu wa Moshi kesho na kutoa shukurani na kuwataka wawekezaji wengine kuiga mfano kama huo.






Makamo Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri wa Habari (TEF), Deudatus Balile (kulia) , akipokea mfano wa hundi wa shilingi milioni 14 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji kiwanda cha Saruji cha Tanga Simba Cement, Renhardt Swart, kusaidia jukwaa hilo katika majukumu yake ya kila siku ikiwemo mkutano wao mkuu kesho Moshi Mkoani Kilimanjaro.




Afisa Mawasiliano na Masoko kiwanda cha Saruji cha Simba Cement Tanga , Hellen Maleko, (kulia) akiwakabidhi hundi yenye mfano wa shilingi milioni 14 Wahariri wa Jukwaa la vyombo vya habari mara baada ya kutembelea kiwanda hicho leo ikiwa ni msaada katika mambo yao mbalimbali ukiwemo mkutano wao mkuu kesho Moshi Mkoani Kilimanjaro.





Wahariri kutoka vyombo mbalimbali wakiangalia eneo uchumbani wa Matirial Kware kilometa 2 kutoka ndani ya eneo la kiwanda.


Eneo la Kware ambalo kiwanda hicho toka kianze uzalishaji wame wamekuwa wakichimba Matirialhadi hii leo ambapo Afisa Uzalishaji wa kiwanda hicho, Beni Lema amewaambia Wahariri hao kuwa kuna kiwango kikifika watasimamisha uchimbaji na kuanzisha mradi wa Ufugaji Mamba.



Baadhi ya Wahariri wa vyombo mbalimbali ya Habari wakipiga picha eneo la Kware ndani ya Kiwanda cha Saruji Simba Cement inapochimba Matirial ya kiwanda hicho.
(Blog ya kijamii ya tangakumekuchablo 0655 902929)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KIWANDA CHA SARUJI CHA SIMBA CEMENT YAIPIGA TAFU JUKWAA LA WAHARIRI MILIONI 1
KIWANDA CHA SARUJI CHA SIMBA CEMENT YAIPIGA TAFU JUKWAA LA WAHARIRI MILIONI 1
https://mail.google.com/mail/u/0/images/cleardot.gif
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4PhebNkOe3noRxjZiZG0NpBuXvz9EcFNCPeIORqW6KD8NCODy8PNFk1aH_bOwxYMfB54nFvQmTe5ki1rw9bHZE5jD-n-2nl1kj0_Sq8ReOjSNPRJCI8fnDU5gu2KHrUMvFc4_NsyfQIXO/s72-c/DSCN7463.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/kiwanda-cha-saruji-cha-simba-cement.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/kiwanda-cha-saruji-cha-simba-cement.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy