Wananchi wakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alipozungumza nao, kusikiliza na kutatua kero zao katika...
Wananchi
wakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alipozungumza
nao, kusikiliza na kutatua kero zao katika eneo la Keko Dar es Salaam
leo, akiwa katika ziara ya kikazi wlayani Temeke. Mh.Paul Makonda yuko
kwenye ziara ya siku kumi ya kuijenda upya Dar es Salaam. (Picha na Bashir
Nkoromo)
COMMENTS