IGP SIRRO AKAGUA MIRADI KINONDONI DAR ES SALAAM

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akimsikiliza OCD wa  Wilaya ya Kipolisi ya Magomeni, Salim Marcuse, wakati alipotembelea moja kati ya miradi ya maendeleo ya  Jeshi hilo inayotekelezwa katika mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni jijini Dar es salaam. (Picha na Jeshi la Polisi)

HomeJamii

IGP SIRRO AKAGUA MIRADI KINONDONI DAR ES SALAAM

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akimsikiliza OCD wa  Wilaya ya Kipolisi ya Magomeni, Salim Marcuse, wakati alipotembelea mo...




Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akikagua mradi wa maendeleo ya Jeshi hilo unaotekelezwa katika Wilaya ya Kipolisi ya Magomeni jijini Dar es salaam, mradi ambao unatarajiwa kuanza kutumika kwa ajili ya kutoa huduma za Kipolisi hivi karibuni.



Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akikagua mradi wa maendeleo ya Jeshi hilo unaotekelezwa katika Wilaya ya Kipolisi ya Magomeni jijini Dar es salaam, mradi ambao unatarajiwa kuanza kutumika kwa ajili ya kutoa huduma za Kipolisi hivi karibuni.



(Juu na chini) Wananchi wa Kigogo Mburahati jijini Dar es salaam, wakimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, ambaye alifika eneo hilo kwa ajili ya kukagua moja kati ya miradi ya Jeshi la Polisi, ambapo IGP Sirro, aliwataka wananchi hao kuendelea kushirikiana na Jeshi hilo kwa kuwafichua wahalifu katika maeneo yao.




Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akimsikiliza Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Muliro Jumanne Muliro, wakati alipofanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ya Jeshi hilo Mbweni jijini Dar es salaam katika wilaya ya kipolisi ya Kawe


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: IGP SIRRO AKAGUA MIRADI KINONDONI DAR ES SALAAM
IGP SIRRO AKAGUA MIRADI KINONDONI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPejvfDQ7BvCCZi33LYhpmesp2N8TQj-3v33igXBadJ5Ly_YB5_jMj1Vhm3wNT2k3jBYLnLO47BIbO0y1zupzc3dtVsmoB6O1ESi6elaknSPcWyjsxZaxCMFE3Gi4gRnPiQi3T8DyKLYM/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPejvfDQ7BvCCZi33LYhpmesp2N8TQj-3v33igXBadJ5Ly_YB5_jMj1Vhm3wNT2k3jBYLnLO47BIbO0y1zupzc3dtVsmoB6O1ESi6elaknSPcWyjsxZaxCMFE3Gi4gRnPiQi3T8DyKLYM/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/igp-sirro-akagua-miradi-kinondoni-dar.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/igp-sirro-akagua-miradi-kinondoni-dar.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy