KAMPUNI YA TATU MZUKA NA NAIBU WAZIRI MAVUNDE WAKABIDHI MATOFALI 3000 NA MIFUKO YA SARUJI 100 KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE ZA MSINGI MPYA ZA MBANDE NA MUUNGANO MKOANI DODOMA
HomeJamii

KAMPUNI YA TATU MZUKA NA NAIBU WAZIRI MAVUNDE WAKABIDHI MATOFALI 3000 NA MIFUKO YA SARUJI 100 KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE ZA MSINGI MPYA ZA MBANDE NA MUUNGANO MKOANI DODOMA

Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana Antony Mavunde  mwishoni mwa wiki amekabidhi matofali 3000 na mifuko ya saruji 100 katika Kata ya ...

RAIS DKT MAGUFULI ASITISHA UBOMOAJI WA NYUMBA 17,000 TUANGOMA JIJINI DAR
CHAMA CHA MAENDELEO YA MAKETE (MDA) WAPATA VIONGOZI WA KUDUMU
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 30 YA DROO YA JUMAPILI YA JACKPOT YA TATU MZUKA AKABIDHIWA FEDHA ZAKE



Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana Antony Mavunde  mwishoni mwa wiki amekabidhi matofali 3000 na mifuko ya saruji 100 katika Kata ya Makutupora kwa ajili ya kuanza awamu ya kwanza ya ujenzi wa Shule za Msingi Mpya za Mbande na Muungano Wilaya ya Dodoma mjini mkoani Dodoma.

Msaada huo alioukabidhi umetoka kwa kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Tatumzuka  ambayo ilikabidhi zawadi kwa washindi katika droo ya michezo hiyo,Mavunde aliishukuru kampuni hiyo kwa msaada huo na kuwaomba wadau wengine kujitokeza zaidi ili kusaidia kuboresha Elimu nchini.
 
Waziri
Mavunde alisema kuwa ujenzi wa shule hizo utasaidia kupunguza adha
inayowapata wanafunzi kutembea umbali mrefu  wa zaidi ya kilomita 7
kufuata shule katika eneo la Veyula.
 "TATU MZUKA kwa ushirikiano na  Naibu Waziri,
Kazi, Ajira na Vijana Mh.  Anthony Mavunde  (Mbunge Dodoma
Mjini) wakikabidhi  matofali 3000 na mifuko 100 ya saruji kwa mmoja wa viongozi katika kata ya
Makutupora  kwa ajili ya ujenzi  wa shule za msingi Mpya za Muungano na
Mbande. Kwa ajili  ya ujenzi wa madarasa mawili  kila moja.
 
"TATU MZUKA kwa ushirikiano na  Naibu Waziri,
Kazi, Ajira na Vijana Mh.  Anthony Mavunde  (Mbunge Dodoma
Mjini) wakiwashukuru baadhi ya wakazi na viongozi mbalimbali wa kata ya
Makutopora mara baada ya kukabidhi  matofali 3000 na mifuko 100 ya
saruji kwa ajili ya ujenzi  wa shule za msingi Mpya za Muungano na
Mbande.Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki mkoani Dodoma.

Baadhi ya Wananchi mbalimbali waliojitokeza kutoka kijiji cha
Makutopora na Mbande kushuhudia tukio la makabidhiano ya matofali 3000
na mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa shule za msingi Mpya za
Muungano na Mbande,iliyotolewa na kampuni ya michezo ya kubahatisha ya
Tatumzuka ikishirikiana na Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana Antony
Mavunde.


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMPUNI YA TATU MZUKA NA NAIBU WAZIRI MAVUNDE WAKABIDHI MATOFALI 3000 NA MIFUKO YA SARUJI 100 KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE ZA MSINGI MPYA ZA MBANDE NA MUUNGANO MKOANI DODOMA
KAMPUNI YA TATU MZUKA NA NAIBU WAZIRI MAVUNDE WAKABIDHI MATOFALI 3000 NA MIFUKO YA SARUJI 100 KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE ZA MSINGI MPYA ZA MBANDE NA MUUNGANO MKOANI DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEigP5QBuPKqYBsg3zZNRXwdZIKXN2xEP_l75nS9sEUsH6M-mbj94C1CgGDT3_OzJIm8B05Su88_oZAHxbqM2VOsZ4rM0HkXAkxZHGBbSaua0HRczCCOGRZNqVC18Axuphp4EcRI68j6jGmI/s640/J26A0702.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEigP5QBuPKqYBsg3zZNRXwdZIKXN2xEP_l75nS9sEUsH6M-mbj94C1CgGDT3_OzJIm8B05Su88_oZAHxbqM2VOsZ4rM0HkXAkxZHGBbSaua0HRczCCOGRZNqVC18Axuphp4EcRI68j6jGmI/s72-c/J26A0702.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/kampuni-ya-tatu-mzuka-na-naibu-waziri.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/kampuni-ya-tatu-mzuka-na-naibu-waziri.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy