WAZIRI DKT. TZEBA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA MBOLEA DAR ES SALAAM

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tzeba akiongea na wadau wa Mbolea wa Tanzania alipofungua mkutano wao katika ukumbi wa...

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tzeba akiongea na wadau wa Mbolea wa Tanzania alipofungua mkutano wao katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs) 
Mkuu wa Shirika la Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA) kwa Tanzania, Rwanda na Uganda, Profesa Nuhu Hatibu (kulia) akimkabidhi Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tzeba zawadi ya kitabu wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa wadau mbolea walipkutana jijini Dar es Salaam leo Septemba 28 2017. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wauza Mbolea Tanzania, Salum Mkumba na Mkurugenzi Mkazi wa Taasis ya Biashara za Mbolea Afrika (AFAP), Dkt. Mbette Mshindo. 

Mkurugenzi Mkazi wa Taasis ya Biashara za Mbolea Afrika (AFAP), Dkt. Mbette Mshindo akiongea na wadau wa mbolea wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa wadau mbolea walipokutana jijini Dar es Salaam leo Septemba 28 2017. Kutoka (kushoto) ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wauza Mbolea Tanzania, Salum Mkumba, Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tzeba na Mkuu wa Shirika la Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA) kwa Tanzania, Rwanda na Uganda, Profesa Nuhu Hatibu. 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Eng. Mathew Mtigumwe akitambulishwa kwa wadau.

Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.

Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.

Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.

Mkuu wa Shirika la Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA) kwa Tanzania, Rwanda na Uganda, Profesa Nuhu Hatibu akiongea na wadau wakati wa ufunguzi wa Mkutano walipokutana jijini Dar es Salaam leo Septemba 28 2017. Kutoka (kushoto) ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wauza Mbolea Tanzania, Salum Mkumba na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Biashara za Mbolea Afrika (AFAP), Dkt. Mbette Mshindo na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba.

Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.

Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.

Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.

Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam. 

Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.

Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.

Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.

Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.

 Mkuu wa Shirika la Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA) kwa Tanzania, Rwanda na Uganda, Profesa Nuhu Hatibu (kushoto)  akiteta Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Eng. Mathew Mtigumwe wakati wa ufunguzi wa Mkutano walipokutana jijini Dar es Salaam leo Septemba 28 2017. 

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tzeba (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI DKT. TZEBA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA MBOLEA DAR ES SALAAM
WAZIRI DKT. TZEBA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA MBOLEA DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg623gHyREEPt8mMK-pmut7mB9wq06CDAYkxFl3hfftg1TLhFZDPa1NNvH8_F-YUtQf1K1CkiqJv-fQg8K-qMvF3NQkyTsZ-G-ebyuBIh_BXV9Baq6slE4P7Pv6p5IVEWVGHDrrUWHspq0/s640/F18.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg623gHyREEPt8mMK-pmut7mB9wq06CDAYkxFl3hfftg1TLhFZDPa1NNvH8_F-YUtQf1K1CkiqJv-fQg8K-qMvF3NQkyTsZ-G-ebyuBIh_BXV9Baq6slE4P7Pv6p5IVEWVGHDrrUWHspq0/s72-c/F18.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/waziri-dkt-tzeba-afungua-mkutano-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/waziri-dkt-tzeba-afungua-mkutano-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy