SHULE YA MSINGI YA WAVULANA YA ALMUNTAZIR YAWATUZA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MITIHANI YAO
HomeJamii

SHULE YA MSINGI YA WAVULANA YA ALMUNTAZIR YAWATUZA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MITIHANI YAO

Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswile (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Shule ...

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS MAGUFULI MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA DODOMA
KUELEKEA DESEMBA 9, 2017: SISI NI TANZANIA MPYA+


SHULE YA MSINGI YA WAVULANA YA ALMUNTAZIR YAWATUZA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MITIHANI YAO
Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswile (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir   Bi. Shaimuna Chandro wakati alipowasili shuleni hapo kwenye Sherehe ya Kuwazawadia Wanafunzi wa shule hiyo waliofanya vizuri katika mitihani yao leo jijini Dar es Salaam.Katikati ni Naibu Mkuu wa shule hiyo Bi. Zai Abdi.

 Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswile akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa shule hiyo Bw. Mahmood Ladak.
 Mkuu wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir   Bi. Shaimuna Chandro akitoa neno la ukaribisho.
 Mwanafunzi Ali Askher Walji akifurahia zawadi kutoka kwa Mgeni Rasmi, Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswile baada ya kufanya vizuri katika Mitihani ya Taifa ya Daraja la 7 ya mwaka 2016.
 Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswile, akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir waliofanya katika Mitihani ya Taifa ya Daraja la 7 ya mwaka 2016.
Dokta Faraji Lydenge kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir waliofanya katika mitihani ya Taifa ya daraja la 4 ya mwaka 2016.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir Bw. Mahmood Ladak akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir waliofanya katika Mitihani ya Taifa ya Daraja la 3 ya mwaka 2016.
  Sheikh Ali Azim Shiraz akimbusu mmoja wa wanafunzi wa daraja la awali wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir, baada ya kumpatia zawadi.
 
 Sheikh Ali Azim Shiraz akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir waliofanya vizuri katika mitihani ya Taifa ya Daraja la 1 ya mwaka 2016.
 Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir, wakishuhudia utoaji wa zawadi.
 Baadhi ya wazazi wakifuatilia utoaji wa zawadi.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir Bw. Mahmood Ladak, akimkabidhi zawadi mgeni rasmi Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswile.Katikati ni Dokta Faraji Lydenge kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, akishuhudia.
Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswile, akiangalia moja ya vitabu vilivyoko kwenye Maktaba ya shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir wakati alipotembea maeneo mbalimbali ya shule hiyo akiwa na Naibu Mkuu wa shule hiyo Bi. Zai Abdi.

Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Giveness Aswile (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na viongozi wa Shule ya Msingi ya Wavulana ya Almuntazir hiyo.Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu Bw. Mahmood Ladak, Mkuu wa Shule Bi. Shaimuna Chandro na kushoto ni Naibu Mkuu wa shule hiyo Bi. Zai Abdi. (Picha na Hussein Makame, NEC)


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SHULE YA MSINGI YA WAVULANA YA ALMUNTAZIR YAWATUZA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MITIHANI YAO
SHULE YA MSINGI YA WAVULANA YA ALMUNTAZIR YAWATUZA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MITIHANI YAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg09SXiDlYHWEXZ8K3IbX-0W_8z-o2SZZChsH5pDbYd5kgYRCSHSZShSclTpup4NAOur2ALSAfsKZ5TYlN0TtrY5AGAmOJMvFCDwTa9IPvt7Aq1X9jj2Q40X4brvbQkWlmOgU7Ml6gLmPZg/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg09SXiDlYHWEXZ8K3IbX-0W_8z-o2SZZChsH5pDbYd5kgYRCSHSZShSclTpup4NAOur2ALSAfsKZ5TYlN0TtrY5AGAmOJMvFCDwTa9IPvt7Aq1X9jj2Q40X4brvbQkWlmOgU7Ml6gLmPZg/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/02/shule-ya-msingi-ya-wavulana-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/shule-ya-msingi-ya-wavulana-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy