NAIBU WAZIRI WAMBURA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA HABARI NA MTANDAO
HomeJamii

NAIBU WAZIRI WAMBURA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA HABARI NA MTANDAO

Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Annastazia James Wambura akipokelewa na Naibu Mkurugenzi Mkuu Idara ya Habar...







Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Annastazia James Wambura akipokelewa na Naibu Mkurugenzi Mkuu Idara ya Habari na Mawasiliano, Utawala wa Mitandao kutoka Jamhuri ya watu wa China, Tang Song alikuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa mkutano wa majadiliano kuhusu Vyombo vya Habari na Mawasiliano ya Mtandao leo Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umefanyika kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya mitandao chini ya uratibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania na Wizara ya Habari, na Mawasiliano ya Mitandao ya China.

Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Limited Dkt. Jim Yonaz akielezea jambo wakati wa mkutano wa majadiliano kuhusu Vyombo vya Habari na Mawasiliano ya Mtandao leo Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umefanyika kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya mitandao chini ya uratibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania na Wizara ya Habari, na Mawasiliano ya Mitandao ya China. Kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Rodney Thadeus.


Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akizungumza wakati wa mkutano wa majadiliano kuhusu Vyombo vya Habari na Mawasiliano ya Mtandao leo Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umefanyika kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya mitandao chini ya uratibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania na Wizara ya Habari, na Mawasiliano ya Mitandao ya China. Kutoka kulia ni Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonaz na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Rodney Thadeus (katikati).

Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akizungumza mbele ya wadau wa habari na mawasiliano mtandao kutoka China na Tanzania wakati wa mkutano wa majadiliano kuhusu Vyombo vya Habari na Mawasiliano ya Mtandao leo Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umefanyika kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya mitandao chini ya uratibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania na Wizara ya Habari, na Mawasiliano ya Mitandao ya China.

Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akifurahia jambo akiwa pamoja na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonaz (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Bw. Rodney Thadeus (kushoto) alipokuwa mgeni rasmi wakati wa kufunga mkutano wa majadiliano kuhusu Vyombo vya Habari na Mawasiliano ya Mtandao leo Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umefanyika kwa lengo la kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya mitandao chini ya uratibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania na Wizara ya Habari, na Mawasiliano ya Mitandao ya China.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU WAZIRI WAMBURA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA HABARI NA MTANDAO
NAIBU WAZIRI WAMBURA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA HABARI NA MTANDAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhphzixvFfAmNqO4zIP-uAQXREdnhPlDnu_UvMPgFiwiC1Y32dUdkMTgsA6O0JL_BxQpeyvhG0g4xtfQnSvSDb8CFlboOYGgghEcdh8QRCoIc_jgooyegitazzcXY_wRio2o35WJHwHL3g/s640/1-141.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhphzixvFfAmNqO4zIP-uAQXREdnhPlDnu_UvMPgFiwiC1Y32dUdkMTgsA6O0JL_BxQpeyvhG0g4xtfQnSvSDb8CFlboOYGgghEcdh8QRCoIc_jgooyegitazzcXY_wRio2o35WJHwHL3g/s72-c/1-141.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/07/naibu-waziri-wambura-afungua-mkutano-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/naibu-waziri-wambura-afungua-mkutano-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy