DKT SHEIN AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA YA WATOTO
HomeJamii

DKT SHEIN AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA YA WATOTO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Mahkama ya Watot...

TAASISI YA MISA TANZANIA YAWANOA WANAHABARI KANDA YA ZIWA.
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUFUNGUA MKUTANO WA TISA WA WADAU WA LAPF JIJINI ARUSHA
WAZIRI MKUU AKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA ITALIA






Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Mahkama ya Watoto iliyopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B Unguja leo (kulia) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu (kulia) wakati alipotembelea jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja leo baada ya kulizindua rasmi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu (katikati) wakitoka nje ya Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja baada ya kulizindua rasmi leo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu wakiteta jambo wakati wa uzinduzi wa Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja uliofanyika rasmi leo.

Wanafunzi wa Skuli ya Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja ni miongoni mwa wananchi waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Mahkama ya Watoto,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwa mgeni rasm.

Watoto wa Kijiji cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Mahkama ya Watoto ambapo imezuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

Baadhi ya Viongozi na Wananchi waliohudhuria katika sherehe ya uzinduzi wa Mahkama ya Watoto,Kijiji cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja,iliyozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu alipowasili katika sherehe ya uzinduzi wa Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman (katikati) alipowasili katika sherehe ya uzinduzi wa Jengo la Mahakama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B, Unguja (kushoto) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Moudline Cyrys Castico.


Mwakilishi wa UNICEF katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maniza Zaman akitoa salama zake kwa Wananchi na Viongozi wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B, Unguja.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumushi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman alipokuwa akizungumza machache na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kutoa hutuba yake kwa Wananchi wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Mahakama ya watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B, Unguja uliofanyika jana.


Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi na Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame wakiwa katika sherehe za Uzinduzi wa Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B, Unguja jana.


Wasanii wa wakiigiza mchezo wa udhalilishaji Mtoto wa Skuli wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Jengo la Mahakama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja, lililozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B, Unguja. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumushi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu 07/02/2017.
(Picha na Ikulu)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DKT SHEIN AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA YA WATOTO
DKT SHEIN AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA YA WATOTO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxQjfDxPskD9cBzKu-ao-tjTDnH6ky185ueQfUsg5kBvQTXkneL7koA1wKm7PRUqMHqhYhikG47L2CkQDi-rkp2oVQw_ikYXpzUnWGzXI7MneSzZb0N1BjvMVnXbe7_JdXZbXxzumliEw/s640/OTO.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxQjfDxPskD9cBzKu-ao-tjTDnH6ky185ueQfUsg5kBvQTXkneL7koA1wKm7PRUqMHqhYhikG47L2CkQDi-rkp2oVQw_ikYXpzUnWGzXI7MneSzZb0N1BjvMVnXbe7_JdXZbXxzumliEw/s72-c/OTO.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/02/dkt-shein-azindua-jengo-la-mahakama-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/dkt-shein-azindua-jengo-la-mahakama-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy