MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA KENYA, MHE. UHURU KENYATTA
HomeJamii

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA KENYA, MHE. UHURU KENYATTA

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan (wa tatu kulia) akiwa pamoja na viongozi wengine wa nchi mbalimbali waliohudhulia katika Sherehe z...

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZA KUAGA MWILI WA MZEE SYLVESTER LUBALA SHIMBA, BABA MZAZI WA NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA
RC MAKONDA KUKUTANA NA KAMPUNI 30 KUTOKA UFARANSA, AWASHAURI WAFANYABISHARA DAR KUCHANGAMKIA FURSA
KAMISHNA WA NISHATI AFANYA ZIARA KITUO CHA KUPOKEA MAFUTA CHA KURASINI



Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan (wa tatu kulia) akiwa pamoja na viongozi wengine wa nchi mbalimbali waliohudhulia katika Sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Rais Uhuru Kenyatta iliyofanyika leo kwenye uwanja wa Moi Kasarani Mjini Nairobi, Kenya. Mhe. Samia Suluhu Hassan amehudhuria sherehe hizo akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. (PICHA NA IKULU)





Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Uhuru Kenyatta kwa kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya kwa awamu ya pili, katika Sherehe zilizofanyika leo kwenye uwanja wa Moi Kasarani Mjini Nairobi, Kenya. Mhe. Samia Suluhu Hassan amehudhuria sherehe hizo akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA KENYA, MHE. UHURU KENYATTA
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA KENYA, MHE. UHURU KENYATTA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj15po2cy85M-KTnvOnWAa6wWxI8cfxzdn7ZKC2OZPkBLC8Wlb7lifr4lUdqfqhexos3nu8NDG3doqaT7Tqa-EdtYrwQzB6v9KGY9_G_Fpy_fZilGllW6ZKqWK7OduiE0EOG6euz4m44hjv/s640/JO4A2752.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj15po2cy85M-KTnvOnWAa6wWxI8cfxzdn7ZKC2OZPkBLC8Wlb7lifr4lUdqfqhexos3nu8NDG3doqaT7Tqa-EdtYrwQzB6v9KGY9_G_Fpy_fZilGllW6ZKqWK7OduiE0EOG6euz4m44hjv/s72-c/JO4A2752.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/makamu-wa-rais-mhe-samia-suluhu-hassan_28.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/makamu-wa-rais-mhe-samia-suluhu-hassan_28.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy