Msajili wa Hazina Dk. Oswald Mashindano (kushoto) akikabidhiana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya AICC Balozi Dk. Lad...
Msajili
wa Hazina Dk. Oswald Mashindano (kushoto) akikabidhiana na Mwenyekiti wa Bodi ya
wakurugenzi ya AICC Balozi Dk. Ladislaus Komba mkataba wa makubaliano ya
utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Zisizo za
Serikali kupitia msajili wa Hazina.
Msajili
wa Hazina Dk. Oswald Mashindano akizungumza jambo na baadhi ya wajumbe
kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Taasisi ya Utafiti wa
Viuatilifu vya Kitropiki Tanzania (TPRI) wakati wa hafla ya makabidhiano
ya makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za
Serikali na zisizo za Serikali kupitia msajili wa hazina.
Msajili
wa Hazina Dk.Oswald Mashindano akikabidhiana na mwakilishi kutoka Mfuko
wa Umoja wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania mkataba wa makubaliano ya
utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali
kupitia msajili wahazina. Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Umoja
wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania, James Washima.
Wajumbe
mbalimbali kutoka Bodi yaWakurugenzi ya AICC na Mfuko wa Umoja wa
Dhamana ya Uwekezaji Tanzania wakimskiliza Msajili wa Hazina Dk.Oswald
Mashindano (hayupo pichani) wakati wa makubaliano ya utekelezaji wa
mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali kupitia msajili
wa hazina.
MsajiliwaHazina Dk. Oswald
Mashindano akikabidhiana na mwakilishi kutoka Taasisi ya Utafiti wa
Viuatilifu vya Kitropiki Tanzania (TPRI) mkataba wa makubaliano ya
utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali
kupitia msajili wa hazina.
Katibu wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Saalaam (UDSM) Prof. Paramagamba Kabudi akitia saini
mkataba wa makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati yaTaasisi
za Serikali na Serikali kupitia msajili wa hazina leo Jijini Dar
es Salaam. Kushoto kwake ni Makamu Mkuu wa UDSM,
Profesa Rwekaza Mukandara,
(Picha na Daudi Manongi-MAELEZO)
COMMENTS