Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kuondoa Umasikini Tanzania (PFT), Mbunge mstaafu wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia), akibadilish...
Mwenyekiti
wa Bodi ya Taasisi ya Kuondoa Umasikini Tanzania (PFT), Mbunge mstaafu
wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia), akibadilishana mawazo na
baadhi ya Maofisa wa Benki ya Kiislamu ya Amana, wakati alipofika kwenye
ukumbi wa PTA, viwanja vya Sabasaba kuufungua mkutano wa wanachama wa
Vicoba wa Wilaya ya Temeke na benki hiyo, mwishoni mwa wiki jijini Dar
es Salaam.(Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com )
Mwenyekiti
wa Bodi ya Taasisi ya Kuondoa Umasikini Tanzania (PFT), Mbunge mstaafu
wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akisalimiana na baadhi ya wanachama wa
vikundi mbalimbali vya Vicoba, wilayani Temeke, wakati alipofika kwenye
ukumbi wa PTA, viwanja vya Sabasaba kuufungua mkutano wao na Benki ya
Kiislamu ya Amana, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Taasisi ya Kuondoa Umasikini Tanzania (PFT), Mbunge mstaafu
wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akimpatia pesa mmoja wa watoto wa
wajasiriamali hao, wakati akisalimiana nao ukumbini hapo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Taasisi ya Kuondoa Umasikini Tanzania (PFT), Mbunge mstaafu
wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akimpatia pesa mmoja wa watoto wa
wanachama wa vikundi hivyo.
Mhe.
Abbas Mtemvu akisalimiana na baadhi ya wanachama wa vikundi mbalimbali
vya Vicoba, wilayani Temeke, alipofika kwenye ukumbi wa PTA, viwanja vya
Sabasaba kufungua mkutano wao na Benki ya Kiislamu ya Amana, jijini Dar
es Salaam.
Baadhi
ya Maofisa wa Benki ya Kiislamu ya Amana, wakimpokea mgeni rasmi katika
ufunguzi wa mkutano wa wanachama wa Vicoba wa Wilaya ya Temeke na benki
hiyo, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kuondoa Umasikini Tanzania
(PFT), Mbunge mstaafu wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (wa tatu
kushoto), alipofika ukumbini hapo, mwishoni mwa wiki.
Baadhi
ya wanachama wa vikundi mbalimbali vya Vicoba, wilayani Temeke, wakiwa
kwenye ukumbi wa PTA, viwanja vya Sabasaba katika mkutano wao na Benki
ya Kiislamu ya Amana, jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wanachama wa vikundi mbalimbali vya Vicoba, wilayani Temeke, wakiwa
kwenye ukumbi wa PTA, katika mkutano wao huo na Benki ya Kiislamu ya
Amana, jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wanachama wa vikundi mbalimbali vya Vicoba, wakiwa katika mkutano
huo, ukumbi wa PTA, viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam, mwishoni
mwa wiki.
Mlezi
wa Vicoba, wilayani Temeke, mke wa Mbunge mstaafu wa Temeke, Abbas
Mtemvu, Mama Mariam Mtemvu, akiwasalimia wanachama wa vikundi mbalimbali
vya vicoba, wakati wa mkutano wao na Benki ya Kiislamu ya Amana,
mwishoni mwa wiki.
Mwanachama
wa Vicoba, wilayani Temeke, Blandina Makange akisoma risala ya
wajasiriamali hao, wakati wa ufunguzi wa mkutano wao huo.
Kaimu
Mkurugenzi Mkurugenzi wa Benki ya Kiislamu ya Amana, Muhidin Ally
akizungumza na wanachama wa vikundi mbalimbali vya Vicoba, katika
mkutano huo. Katikati ni mgeni rasmi wa mkutano huo, Mwenyekiti wa Bodi
ya Taasisi ya Kuondoa Umasikini Tanzania (PFT), Mbunge mstaafu wa Jimbo
la Temeke, Abbas Mtemvu na kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha biashara cha
benki hiyo, Munir Rajab.
Mlezi wa Vicoba, wilayani Temeke, mke wa Mbunge mstaafu wa Temeke, Abbas Mtemvu, Mama Mariam Mtemvu, akiwa katika mkutano huo.
Mkuu
wa Masoko wa benki ya Amana, Dassu Mussa, akizungumza na wanachama wa
Vicoba, wakati akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu benki hiyo
kwa wajasiriamali hao.
Mjasirimali
Elina Amani Ngogo, akiuliza swali kuhusu ukopeshwaji wa viwanja vya
makazi unaofanywa na benki ya Amana kwa wateja wake, wakati wa mkutano
huo.
Mjasirimali Omar Juma, akiuliza swali kuhusu ulipaji wa mikopo ya benki hiyo, baada ya mteja kupata mkopo wake.
Mgeni
rasmi Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kuondoa Umasikini Tanzania
(PFT), Mbunge mstaafu wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akimkaribisha
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade),
Edwin Rutageruka (kushoto), alipofika kwenye mkutano huo.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Edwin
Rutageruka (kushoto), akisalimiana na baadhi ya Maofisa wa Benki ya
Amana alipofika kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Taasisi ya Kuondoa Umasikini Tanzania (PFT), Mbunge mstaafu
wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza na wanachama wa vikundi
mbalimbali vya Vicoba, wilayani Temeke, alipoufungua mkutano wao
mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya
Biashara Tanzania (TanTrade), Edwin Rutageruka na kushoto ni Mkuu wa
Kitengo cha biashara cha benki hiyo, Munir Rajab.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Edwin
Rutageruka, akizungumza na wanachama wa vikundi mbalimbali vya Vicoba,
wilayani Temeke, wakati wa ufunguzi, wa mkutano wao, ukumbi wa PTA,
Sabasaba, jijini Dar es Salaam. Wapili kulia ni Mgeni rasmi Mwenyekiti
wa Bodi ya Taasisi ya Kuondoa Umasikini Tanzania (PFT), Mbunge mstaafu
wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu, wa pili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha
biashara cha benki ya Amana, Munir Rajab na wa kwanza ni Mkuu wa Masoko
wa benki hiyo, Dassu Mussa.
Meza kuu wakimpigia makofi Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Edwin
Rutageruka (hayupo pichani, baada ya kuzungumza na wanavicoba hao.
COMMENTS