BARAZA LA WATOTO MKOANI MWANZA LAELEZA NAMNA UKATILI UNAVYODIDIMIZA MALENGO YA WATOTO
HomeJamii

BARAZA LA WATOTO MKOANI MWANZA LAELEZA NAMNA UKATILI UNAVYODIDIMIZA MALENGO YA WATOTO

Msimamizi wa Watoto Baraza la Watoto mkoani Mwanza, Karus Masinde, akizungumza na BMG. Mwanafunzi James John kutoka shule ya m...

TASNIA HALISI WHATSAAP GROUP YAZINDULIWA KWA KISHINDO JIJINI DAR ES SALAAM
MAFUNDI WA TANESCO WAWEKA KAMBI MBEZI KWA MALECELA KUREJESHA MIUNDOMBINU ILIYOSOMBWA NA MAFURIKO YA MVUA ZA VULI
WANAODAI FIDIA MGODI WA BUCKREEF KUHAKIKIWA








Msimamizi wa Watoto Baraza la Watoto mkoani Mwanza, Karus Masinde, akizungumza na BMG.
Mwanafunzi James John kutoka shule ya msingi Kitangiri A Jijini Mwanza.

Na George Binagi-GB Pazzo
Baraza la Watoto mkoani Mwanza, umetoa rai kwa wanajamii kuepuka vitendo vya ukatili na unyanyasaji kwa watoto kwani vitendo hivyo husababisha watoto kutofikia malengo
yao maishani.

Hivi karibuni msimamizi wa baraza hilo ambalo liko chini ya shirika la Mwanza Youth and Children Networ (MYCN), Karus Masinde, aliiambia BMG kwamba ukatili wa watoto ikiwemo ukatili wa kingono na vipigo husababisha watoto wengi kuyakimbia makazi yao na hivyo mwelekeo wa maisha yao pia kutoweka.

"Jamii ambazo bado zina mila za kuonesha ukatili kwa watoto ziachane nazo kwa sababu zinatia changamoto kubwa, watoto wanashindwa kutimiza malengo yao kutokana na ukatili wa kimwili, kingono na kisaikolojia miongoni mwa changamoto nyingi". Alibainisha Masinde.

James John ni mmoja wa wanafunzi wa darasa la tano kutoka shule ya msingi Kitangiri A Jijini Mwanza, mwenye ndoto za kuwa Rais kwa lengo la kupambana na ukatili hususani
kwa wasichana na wanawake nchini.

"Mimi ndoto zangu nataka kuwa Rais, na mambo ambayo naona hayako sawa ni ukatili ikiwemo ubakaji ambayo nitapambana nayo ikiwa ndoto yangu itatimia". Anadokeza John.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BARAZA LA WATOTO MKOANI MWANZA LAELEZA NAMNA UKATILI UNAVYODIDIMIZA MALENGO YA WATOTO
BARAZA LA WATOTO MKOANI MWANZA LAELEZA NAMNA UKATILI UNAVYODIDIMIZA MALENGO YA WATOTO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhU1DAPE6VHGZP98WjBMiE5zdjNUEoCsJozVL5dLWDCS6IFFC6FDmDNA9eyNXyL4jK15HWhTnrq19GQYbPmlZ1qovWAbwft9rDLTWHu_KnLTjnD2FkhrFdomnSWaWZqZeMrrq8jxy9bARY/s640/4.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhU1DAPE6VHGZP98WjBMiE5zdjNUEoCsJozVL5dLWDCS6IFFC6FDmDNA9eyNXyL4jK15HWhTnrq19GQYbPmlZ1qovWAbwft9rDLTWHu_KnLTjnD2FkhrFdomnSWaWZqZeMrrq8jxy9bARY/s72-c/4.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/baraza-la-watoto-mkoani-mwanza-laeleza.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/baraza-la-watoto-mkoani-mwanza-laeleza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy