RAIS MAGUFULI AELEKEA ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI
HomeJamii

RAIS MAGUFULI AELEKEA ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 20 Septemba, 2017 ameondoka jijini Dar es Salaam kuelek...

BLOGGER WA JAMVI LA HABARI AMEREMETA JIJINI MBEYA
UHURU FM LEO TENA WAMWAGA MSAADA KUPITIA KAMPENI YAO YA 'GUSA MAISHA YAO' KUMUENZI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE
MADAKTARI BINGWA 18 KUTOKA SAUDI ARABIA KUWASILI ZANZIBAR


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 20 Septemba, 2017 ameondoka jijini Dar es Salaam kuelekea mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi. 

Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA,Rais Dkt. Magufuli ataanza ziara yake Mkoani Manyara kwa kufungua barabara ya Kia - Mererani yenye urefu wa kilomita 26, na kuzungumza na wananchi wa mkoa huo. 

Tarehe 23 Septemba 2017, Rais Dkt. Magufuli atatunuku Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha. 

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Rais Dkt. Magufuli ameagwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda. 

Jaffar Haniu 
Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU 
Dar es Salaam. 
20 Septemba 2017. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Septemba 20, 2017 wakati akielekea kupanda ndege kwenda mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya Kikazi.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akielekea kupanda ndege kwenda mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya kikazi. (PICHA NA IKULU)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MAGUFULI AELEKEA ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI
RAIS MAGUFULI AELEKEA ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjsbq-FEdpjPdeObTQ4W8nT0k1Eu4GS0m-K1HyaVG3SBnEELMjKRT9Fg6dTEmyP9C0Fh4JA42d5LIZWol2ZgJjKEwWKBnl5ysKMCY6KPZli2ySroj6v_eEA46jNVpVqIjXy2CJyfpIPFy9y/s640/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjsbq-FEdpjPdeObTQ4W8nT0k1Eu4GS0m-K1HyaVG3SBnEELMjKRT9Fg6dTEmyP9C0Fh4JA42d5LIZWol2ZgJjKEwWKBnl5ysKMCY6KPZli2ySroj6v_eEA46jNVpVqIjXy2CJyfpIPFy9y/s72-c/2.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/rais-magufuli-aelekea-arusha-kwa-ziara.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/rais-magufuli-aelekea-arusha-kwa-ziara.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy