TASNIA HALISI WHATSAAP GROUP YAZINDULIWA KWA KISHINDO JIJINI DAR ES SALAAM
HomeJamii

TASNIA HALISI WHATSAAP GROUP YAZINDULIWA KWA KISHINDO JIJINI DAR ES SALAAM

NA K-VIS BLOG/Khalfan Said WAANDISHI wa habari ambao ni wanachama wa kundi la Whatsaap lijulikanalo kama TASNIA HALISI wam...

SSRA YAWAZINDUA WAJASIRIAMALI KUHUSU KUJIUNGA NA KUJIWEKEA AKIBA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAANZISHA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA UTOAJI HATI ZA MALIPO YA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA
DK. HAMISI KIGWANGALLA: “TUZIDI KUOMBEANA DUA TU, SINTOWAANGUSHA WATANZANIA”







NA
K-VIS BLOG/Khalfan Said
WAANDISHI
wa habari ambao ni wanachama wa kundi la Whatsaap lijulikanalo kama TASNIA
HALISI
wamezindua kundi hilo leo Oktoba 28, 2017 kwa sherehe kabambe ya
kukata na shoka iliyohanikizwa na nyama choma, vinywaji vya kila aina na muziki.
Mratibu
wa shughuli hiyo, Bi. Angela Msangi amesema, kundi hilo ni mukusanyiko wa
wanataaluma na wadau wa habari na linalenga kuwaleta pamoja wana tasnia kwa nia
ya kubadilishana taarifa na kusaidiana kitaaluma na kijamii.
Katika
uzinduzi huo uliosindikizwa na burudani ya muziki umeshuhudia waandishi kutoka
sehemu mbalimbali nchini wakishiriki.
Katika
sherehe hiyo, shampeni mbili zilifunguliwa ikiwa ni pamoja na kukata keki.















































Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TASNIA HALISI WHATSAAP GROUP YAZINDULIWA KWA KISHINDO JIJINI DAR ES SALAAM
TASNIA HALISI WHATSAAP GROUP YAZINDULIWA KWA KISHINDO JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7aGYBARgT5JEc1SECSU2hPm8CCopogYv-nJ72gNz7s53GfG1ViHOaL8bwD_N6AttFhL6oi7sA8tgoLZbSQTJRtqv7xvLfmXSvPQzHWJctjZ_SWCWOY38M5HNd8X1JKB48UdXkjEB47ti9/s640/5R5A2415.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7aGYBARgT5JEc1SECSU2hPm8CCopogYv-nJ72gNz7s53GfG1ViHOaL8bwD_N6AttFhL6oi7sA8tgoLZbSQTJRtqv7xvLfmXSvPQzHWJctjZ_SWCWOY38M5HNd8X1JKB48UdXkjEB47ti9/s72-c/5R5A2415.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/tasnia-halisi-whatsaap-group.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/tasnia-halisi-whatsaap-group.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy