WAJUMBE KAMATI ZA BAJETI NA UONGOZI WASHAURIANA NA SERIKALI KUHUSU HOJA ZENYE MASLAHI KWA TAIFA.
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti na Kamati ya Uongozi wakifanya Mashauriano na Serikali kuhusu Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa Bajeti za Wizara kwa Mwaka 2017/2018 na Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 katika kikao kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
HomeJamii

WAJUMBE KAMATI ZA BAJETI NA UONGOZI WASHAURIANA NA SERIKALI KUHUSU HOJA ZENYE MASLAHI KWA TAIFA.

Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti na Kamati ya Uongozi wakifanya Mashauriano na Serikali kuhusu Hoja zenye Maslahi kwa Tai...

MITANDAO YA KIJAMII INAVYOWEZA KUNUFAISHA BIASHARA YAKO
NHIF TANGA KUPELEKA HUDUMA YA TOTO AFYA KADI VIJIJINI
ENG. NGONYANI ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI UYOVU- BWANGA



Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti na Kamati ya Uongozi wakifanya Mashauriano na Serikali kuhusu Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa Bajeti za Wizara kwa Mwaka 2017/2018 na Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 katika kikao kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Mhe. Hawa Ghasia akizungumza wakati wa Mashauriano kati ya kamati ya Bajeti, kamati ya Uongozi  na Serikali kuhusu Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa Bajeti za Wizara kwa Mwaka 2017/2018 na Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Bajeti na Mbunge wa Babati Vijijini Mhe. Jitu Soni
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Phillip Mpango akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti na Kamati ya Uongozi (hawapo kwenye picha) wakati wa  Mashauriano na Serikali kuhusu Hoja zenye ​

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mhe. Peter Serukamba (katikati) akizungumza wakati wa Mashauriano kati ya kamati ya Bajeti, kamati ya Uongozi  na Serikali kuhusu Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa Bajeti za Wizara kwa Mwaka 2017/2018 na Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Mwanza Mhe. Kemirembe Lwota na kushoto ni Mbunge wa Mbeya Vijijini, Mhe. Oran Njeza.

Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mhe. Mussa Zungu akizungumza wakati wa Mashauriano na Serikali kuhusu Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa Bajeti za Wizara kwa Mwaka 2017/2018 na Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019  yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Mhe. Mwanne Mchemba.

Mjumbe wa kamati ya Bajeti na Mbunge wa Muheza, Mhe. Balozi Adadi Rajabu akizungumza wakati waMashauriano kati ya kamati ya Bajeti, kamati ya Uongozi  na Serikali kuhusu Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa Bajeti za Wizara kwa Mwaka 2017/2018 na Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Wajumbe wa Kamati ya Bajeti Mhe. Mashimba Ndaki na Mhe. Martha Umbulla na nyuma ni Mhe. Ruth Mollel. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAJUMBE KAMATI ZA BAJETI NA UONGOZI WASHAURIANA NA SERIKALI KUHUSU HOJA ZENYE MASLAHI KWA TAIFA.
WAJUMBE KAMATI ZA BAJETI NA UONGOZI WASHAURIANA NA SERIKALI KUHUSU HOJA ZENYE MASLAHI KWA TAIFA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimLYaUMNlk61w9P_bXRmLS4fXWtE-h7pgRB9dkUScqUkia6bu8Xc1-EfoFPkjsCPZT_x5rgSgZmeBkuuDJAeuduQnNSCiCMfVzxCeVSppir_are8fFHLq3gs1V9uKewuoJ0sdQp72ev6g/s640/V25A2940.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimLYaUMNlk61w9P_bXRmLS4fXWtE-h7pgRB9dkUScqUkia6bu8Xc1-EfoFPkjsCPZT_x5rgSgZmeBkuuDJAeuduQnNSCiCMfVzxCeVSppir_are8fFHLq3gs1V9uKewuoJ0sdQp72ev6g/s72-c/V25A2940.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/06/wajumbe-kamati-za-bajeti-na-uongozi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/06/wajumbe-kamati-za-bajeti-na-uongozi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy