WAZIRI MPINA ASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMAS KWA KUFANYA SHUGHULI ZA KILIMO SHAMBANI KWAKE

  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe.  Luhaga Mpina akishiriki kusafisha shamba lake la mpunga lililoko Kijiji cha Dalla mkoani Morogoro al...


 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe.  Luhaga Mpina akishiriki
kusafisha shamba lake la mpunga lililoko Kijiji cha Dalla mkoani Morogoro alipokuwa kwenye wa mapumziko ya sikukuu ya  Krismas
leo.
 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akishirikiana na wafanyakazi wake kusafisha shamba lake liliko Kijiji cha Dalla mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya kupanda mpunga leo wakati wa mapumziko ya sikukuu ya Krismas.

Moja ya matrekta yaliyoko katika shamba la Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina yakiendelea na shughuli za kulima kwa ajili ya maandalizi ya kupanda mpunga wakati Waziri huyo (hayupo pichani) alipokwenda kushiriki shughuli za shamba wakati wa mapumziko ya sikukuu ya Krismas leo. (Habari kwa Hisani ya
Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MPINA ASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMAS KWA KUFANYA SHUGHULI ZA KILIMO SHAMBANI KWAKE
WAZIRI MPINA ASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMAS KWA KUFANYA SHUGHULI ZA KILIMO SHAMBANI KWAKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjaSNXEcGdl2-D91iSboLd1Fg60hE3u-JNtMaV1eFliyD22WL_NMwe4rOzrl_SlFucig6uoRnzfgP5Ro9rBZJbgcq3w1nxkIf6_EcL1qL1G2AtQv00VYJtuggYW2Bo0AL7w5qUPpBiUavuG/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjaSNXEcGdl2-D91iSboLd1Fg60hE3u-JNtMaV1eFliyD22WL_NMwe4rOzrl_SlFucig6uoRnzfgP5Ro9rBZJbgcq3w1nxkIf6_EcL1qL1G2AtQv00VYJtuggYW2Bo0AL7w5qUPpBiUavuG/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/waziri-mpina-asheherekea-sikukuu-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/waziri-mpina-asheherekea-sikukuu-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy