SPIKA NDUGAI AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU KUTOKA BOT, MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA NA UMOJA WA WACHIMBAJI MADINI TANZANIA.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
HomeJamii

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU KUTOKA BOT, MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA NA UMOJA WA WACHIMBAJI MADINI TANZANIA.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Of...

RPC KINONDONI AWAASA WANAFUNZI VYUO VIKUU KUEPUKA MIGOMO NA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA
WANANCHI WAJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MANNE KONGOWE TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO MCHANA
DK. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA NORWAY, IKULU ZANZIBAR

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Watendaji Wakuu kutoka Benki kuu ya Tanzania (BOT) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma wakiongozwa na Gavana wa Benki hiyo, Prof. Florens Luoga (kushoto kwa Spika). Kulia kwa Spika ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Florens Luoga (kulia) baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Watendaji Wakuu kutoka Umoja wa Wachimba Madini Tanzania walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wakiongozwa na Katibu Mtendaji wa Umoja huo, Ndg. Gerald Mturi (kushoto kwa Spika) 


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Mhe. Stephen Masele (kulia) ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa tatu kushoto chini) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) walioongozwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Florens Luoga (watatu kulia) baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kushoto chini ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mbunge wa Shinyanga Mjini, Mhe. Stephen Masele (kulia) ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu kutoka Umoja wa Wachimba Madini Tanzania walioongozwa na Katibu Mtendaji wa Umoja huo, Ndg. Gerald Mturi (wa pili kulia) baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)




Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SPIKA NDUGAI AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU KUTOKA BOT, MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA NA UMOJA WA WACHIMBAJI MADINI TANZANIA.
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU KUTOKA BOT, MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA NA UMOJA WA WACHIMBAJI MADINI TANZANIA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPZJSL0xPIqL9ntrneWA_HYZIREKYxd1cw_bCb1rJ2552KH5GGymqmqwlw35qG7oKWZkq5UW6299rE6qsP08efyEPGtCx433AkYAmoiIvEd2t1IiZstHyzOmHC8V2oi-DF1i_bqThijDU/s640/V25A3133.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPZJSL0xPIqL9ntrneWA_HYZIREKYxd1cw_bCb1rJ2552KH5GGymqmqwlw35qG7oKWZkq5UW6299rE6qsP08efyEPGtCx433AkYAmoiIvEd2t1IiZstHyzOmHC8V2oi-DF1i_bqThijDU/s72-c/V25A3133.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/06/spika-ndugai-akutana-na-watendaji-wakuu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/06/spika-ndugai-akutana-na-watendaji-wakuu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy