Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Nchin...
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Nchini Norway Bw. Eivind Hansen, Ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Chuo Kikuu cha Haukeland akiwa na ujumbe aliofutana nao walipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Dk. Hallvard Reigstad, Mkuu wa Idara ya Watoto kutoka
Hospitali ya Haukeland Nchini Norway akiwa ni miongoni mwa Ujumbe kutoka
Nchini Norway uliofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akizungumza na Ujumbe kutoka Nchini Norway ukiongozwa na Bw.Eivind
Hansen, Ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Chuo Kikuu cha Haukeland (wa pili
kulia) walipofika Ikulu Mjini Unguja leo.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akizungumza na Kiongozi wa Ujumbe kutoka Nchini Norway Bw. Eivind
Hansen, Ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Chuo Kikuu cha Haukeland akiwa na
ujumbe aliofutana nao walipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
(Picha na Ikulu)
(Picha na Ikulu)

COMMENTS