DIWANI SAIDI FELLA MGENI RASMI UZINDUZI WA KUPINGA gWA WANAWAKE NA WATOTO
Mcheza Sarakasi wa Kikundi cha Hisia, Omary Said akitoa burudani ya mchezo wa Yoga katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake
na watoto.
HomeJamii

DIWANI SAIDI FELLA MGENI RASMI UZINDUZI WA KUPINGA gWA WANAWAKE NA WATOTO

Mcheza Sarakasi wa Kikundi cha Hisia, Omary Said akitoa burudani ya mchezo wa Yoga katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayop...





 Diwani wa Kata ya Kulungule, Saidi Fella
Afisa Maendeleo Kata ya Sandali, Anuciatha Kayombo akizungumza jambo katika hafla ya  ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam jana kabla ya ufunguzi huo.
 Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo akisalimia wananchi na kutambulisha viongozi meza kuu.
 Diwani wa Kata ya Sandali, Abel Tarimo (wa pili kulia) akimkaribisha mgeni Rasmi ambaye ni Diwani wa Kata ya Kulungule na Mkurugezi wa  Yamoto Bend, Said Fella (wa kwanza kulia) wakati akiwasili katika hafla ya  ufunguzi wa Kampeni yaTunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam jana kabla ya ufunguzi huo.
Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma ya Hisia Theater Group, Hamisi Kussa (kushoto) akicheza na nyoka wakati wa  hafla ya  ufunguzi wa Kampeni Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam  kabla ya ufunguzi huo. 

 Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group, Hamisi Kussa akicheza na nyoka wakati wa  hafla ya  ufunguzi wa Kampeni Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam  kabla ya ufunguzi huo.
Nyoka.
 Diwani wa Kata ya Sandali,  Abel Tarimo (wa pili kushoto) akizungumza jambo wakati wa  hafla ya  ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam  kabla ya ufunguzi huo  na kupata nafasi ya kumkaribisha mgeni rasmi, kuanzia kulia ni  Afisa Maendeleo Kata ya Sandali, Anuciatha Kayombo,  Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo na kushoto ni Diwani ya Kata ya Kilungule, Said Fella.
Mgeni rasmi, Diwani ya Kata ya Kilungule Saidi Fella (kushoto) akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto. Kulia ni  Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo na  Diwani wa Kata ya Sandali,  Abel Tarimo.
Diwani Fella katika picha ya pamoja na kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group.
 Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group, Hamisi Kussa akisalimiana na Diwani Kata ya Sandali Abel Tarimo.
 Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group, Hamisi Kussa (kulia) akisalimiana na Mgeni rasmi ambaye ni Diwani wa Kata ya Kilungule, Saidi Fella.
Kikundi cha wacheza ngoma cha Hisia wakitowa burudani wakati wa hafla ya  ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam.
Msanii wa Yamoyo Band akitowa burudani katika hafla hiyo.

Wapiga ngoma wakitumbuiza wakati wa hafla hiyo.
Msanii wa Kikundi cha ngoma cha Hisia, Theo Leonald  awa kivutio katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto.



Mcheza Sarakasi wa Kikundi cha Hisia, Omary Said akitowa burudani ya mchezo wa Yoga katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake
na watoto
Wananchi wakifuatilia kwa umakini
Msanii wa Kikundi cha ngoma cha Hisia, Theo Leonald  akionyesha umahiri wake katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto.


Afisa Msajili Cecilia Nyandindi (kushoto) akiendelea na kusajili wananchi wanaopinga Ukatili wa wanawake na watoto.
Baadhi ya wasanii wa Sarakasi wa Kikundi cha Hisia  wakizunguuka mfano wa tairi wakati wa ufunguzi wa hafla ya Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake
na watoto.




(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DIWANI SAIDI FELLA MGENI RASMI UZINDUZI WA KUPINGA gWA WANAWAKE NA WATOTO
DIWANI SAIDI FELLA MGENI RASMI UZINDUZI WA KUPINGA gWA WANAWAKE NA WATOTO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgI3JLfn58FCM6nHg27Cihblix4nevC-FUDQKKFvXkoaPZG1I-VqypheKHefUX0H4ZVBmCGqCkCRCHYibIrMqXUdTxidk0iHyXpmaydAIQxIpKtm4EQeIN4RzmfCVSLZ2okTXfSt8VC13M/s640/9+%252810%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgI3JLfn58FCM6nHg27Cihblix4nevC-FUDQKKFvXkoaPZG1I-VqypheKHefUX0H4ZVBmCGqCkCRCHYibIrMqXUdTxidk0iHyXpmaydAIQxIpKtm4EQeIN4RzmfCVSLZ2okTXfSt8VC13M/s72-c/9+%252810%2529.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/diwani-saidi-fella-mgeni-rasmi-uzinduzi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/diwani-saidi-fella-mgeni-rasmi-uzinduzi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy