WANANCHI WAJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MANNE KONGOWE TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO MCHANA
HomeJamii

WANANCHI WAJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MANNE KONGOWE TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO MCHANA

  Wananchi wakiangalia ajali iliyohusisha magari manne na pikipiki iliyotokea daraja la Mzinga Kongowe, Temeke jijini Dar es Salaa...









 Wananchi wakiangalia ajali iliyohusisha magari manne na pikipiki iliyotokea daraja la Mzinga Kongowe, Temeke jijini Dar es Salaam leo mchana. Katika ajali hiyo watu kadhaa walijeruhiwa.

 Wananchi wakiangali basi dogo aina ya Coster ya abiria namba T 415 DCC ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugongwa.

 Wananchi wakiwa eneo la ajali.

 Wananchi wakiwa eneo la ajali.

 Ofisa wa Jeshi la Polisi akiwa eneo la ajali akichukua taarifa.

Prado yenye namba T 177 AHH iliyohusika katika ajali hiyo.


Na  Dotto Mwaibale

WATU kadhaa wamejeruhiwa vibaya katika ajali iliyohusisha magari manne na pikipiki iliyotokea daraja la Mzinga Kongowe Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Ajali hiyo ilitokea saa sita mchana na kuhusisha magari hayo lori la mafuta aina ya Scania lenye namba T 617 AQQ, Coster ya abiria namba T 415 DCC inayofanya safari zake kati ya Kilwa Masoko na Mbagala, Prado yenye namba  T 177 AHH, pikipiki na lori lingine. 

Ofisa wa Polisi aliyekuwepo eneo la ajali ambaye alitambulika kwa jina moja la Emanuel alisema chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika.

"Nimefika sasa hivi bado hatujajua chanzo cha ajali wala watu waliopoteza maisha na kujeruhiwa" alisema ofisa huyo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Gilles Muroto alipopigiwa simu ili kuthibitisha ajali hiyo alikiri kutokea  hata hivyo alisema alikuwa hajapata taarifa kamili kutoka kwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama wa Wilaya hiyo ambaye alikuwepo eneo la tukio.

Kwa mujibu wa mashuhuda walioshuhudia ajali hiyo walisema majeruhi walikimbizwa Hospitali ya Manispaa ya Temeke kwa matibabu.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANANCHI WAJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MANNE KONGOWE TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO MCHANA
WANANCHI WAJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MANNE KONGOWE TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO MCHANA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBh5kdpZXxhsgUYsBd2HmvuRmH8EykZ9LwSPw98adELQWBiwK-3NdqE6z1JTxZCYT5wpx-BxWXs1omr2NoSjpRaS7B8lzesVSP_l_nMWmucgrShTaXQfZSwl3gXW8302BcVHuZkwfI3wvB/s640/DSC_8531.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBh5kdpZXxhsgUYsBd2HmvuRmH8EykZ9LwSPw98adELQWBiwK-3NdqE6z1JTxZCYT5wpx-BxWXs1omr2NoSjpRaS7B8lzesVSP_l_nMWmucgrShTaXQfZSwl3gXW8302BcVHuZkwfI3wvB/s72-c/DSC_8531.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/wananchi-wajeruhiwa-katika-ajali.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/wananchi-wajeruhiwa-katika-ajali.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy