Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museve...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere Dar es Salaam tayari kuelekea jijini Tanga kwa Sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi toka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania utakaofanyika kesho Agosti 5, 2017 katika eneo la Chongoleani.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere Dar es Salaam tayari kuelekea jijini Tanga kwa Sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi toka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania utakaofanyika tarehe 5 Agosti 2017 katika eneo la Chongoleani.Pichani kulia ni Naibu Spika wa Bunge Mh.Dkt. Dkt Tulia Ackson Mwansasu
COMMENTS