UZINDUZI WA BARABARA YA MGAGADU-KIWANI KUSINI PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Kiwani na vitongoji vyake...



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Kiwani na vitongoji vyake katika sherehe za uzinduzi wa barabara ya Mgagadu -Kiwani Mkoa wa Kusini Pemba uliofanyika jana,akiwa katika ziara maalum ya kikazi Kisiwani humo,(kutoka kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Ussi (GAVU) akifuata Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano Miundombinu Mhe, Ali Abeid Karume .


Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla alipokuwa akiwasalimia Wananchi wa Kiwani na vitongoji vyake katika sherehe za uzinduzi wa barabara ya Mgagadu -Kiwani Mkoa wa Kusini Pembailiyozinduliwa na jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara maalum ya kikazi Kisiwani humo,[Picha na Ikulu.]

Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa barabara ya Mgagadu -Kiwani Mkoa wa Kusini Pemba iliyozinduliwa na jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara maalum ya kikazi Kisiwani humo.

Wananchi wa Kiwani na Vijiji jirani katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao jana katika sherehe za uzinduzi wa barabara ya Mgagadu -Kiwani,akiwa katika ziara maalum ya kikazi Kisiwani humo

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UZINDUZI WA BARABARA YA MGAGADU-KIWANI KUSINI PEMBA
UZINDUZI WA BARABARA YA MGAGADU-KIWANI KUSINI PEMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizBNKAf5obkvCTOK6nL-gwLol62EKpgD7Jhc7VpMPkKr2L3IxkyleoLPrE9MQQcjGsoqght_A0k-QRexl3uYTWwCkjxZr0FIuDCzvi0iRFrV7F8mLUha_sykM3N_rOROwp-MIFWfHHIh0/s640/DSC_6747.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizBNKAf5obkvCTOK6nL-gwLol62EKpgD7Jhc7VpMPkKr2L3IxkyleoLPrE9MQQcjGsoqght_A0k-QRexl3uYTWwCkjxZr0FIuDCzvi0iRFrV7F8mLUha_sykM3N_rOROwp-MIFWfHHIh0/s72-c/DSC_6747.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/uzinduzi-wa-barabara-ya-mgagadu-kiwani.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/uzinduzi-wa-barabara-ya-mgagadu-kiwani.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy