Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Yusuph Abdulrahman Ndemanga ambaye ni mlemavu waka...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Yusuph Abdulrahman Ndemanga ambaye ni mlemavu wakati alipomkuta ndani ya jengo la abiria lililopo upande wa Magogoni kabla ya kuvuka na Pantoni kuelekea katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni jijini Dar es Salaam Agosti 25, mwaka jana. Bw. Ndemanga alimuomba Rais msada wa kupatiwa Bajaji ili ajimudu kiusafiri na kiuchumi. (Picha na Ikulu)
MWANANCHI MWENYE ULEMAVU YUSUF ABDULRAHMAN NDEMANGA AKABIDHIWA BAJAJI ALIYOAHIDIWA NA RAIS MAGUFULI

Advertisement

MAIN QUOTE
x cbfgmfg hghg
- Steve Jobs
WEEK TRENDING
Loading...
YEAR POPULAR
HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha k...
Mkuu wa Chuo cha Maafisa wa Jeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha Meja Jenerali Paul Mssao akitoa taarifa ya maofisa wapya kwa Amiri ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza...
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili kufunga mafunzo ya ...
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Abdallah Abdulkadri akisoma wakati wa fainali zake mashindano Dar es Sal...
COMMENTS