MAKAMU WA RAIS UZINDUZI WA DAYOSISI YA KKKT TABORA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Baba Askofu Fredrick Shoo wakati wa Ibada ya Kuzindua Dayosisi ya Magharibi Kati na Kumuweka Wakfu  na Kumuingiza kazini Askofu Mteule Mchungaji Dkt. Isaac Kissiri Laiser na kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Newton John Maganga katika Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Tabora.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
HomeJamii

MAKAMU WA RAIS UZINDUZI WA DAYOSISI YA KKKT TABORA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluth...

FARAJA NYALANDU WINS WOMEN IN TECH AWARD IN SOUTH AFRICA
WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UPR AFRIKA
JK AWATUNUKU DIGRII WAHITIMU 1,179 CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE




Makamu wa Rais akisalimiana na Askofu Mteule Mchungaji Dkt. Isaac Kissiri Laiser wakati wa ibada ya  ya Kuzindua Dayosisi ya Magharibi Kati na Kumuweka Wakfu  na Kumuingiza kazini katika Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Tabora.  

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea kamba kama ishara ya zawadi ya ng'ombe wa maziwa kutoka kwa  Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Baba Askofu Fredrick Shoo wakati wa Ibada ya Kuzindua Dayosisi ya Magharibi Kati na Kumuweka Wakfu  na Kumuingiza kazini Askofu Mteule Mchungaji Dkt. Isaac Kissiri Laiser na kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Newton John Maganga katika Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Tabora.   



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Maaskofu wote kutoka Baraza la Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Kuzindua Dayosisi ya Magharibi Kati na Kumuweka Wakfu  na Kumuingiza kazini Askofu Mteule Mchungaji Dkt. Isaac Kissiri Laiser na kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Newton John Maganga katika Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Tabora.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS UZINDUZI WA DAYOSISI YA KKKT TABORA
MAKAMU WA RAIS UZINDUZI WA DAYOSISI YA KKKT TABORA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnF_Z49pIqOMatu5OrjfI0cl7429qRwZa_gDXRuubth6Qb0Q6_g-IftpXhCzjNb4vFsdNyhvf71zqKNZ9LJceIQwbS9aE_NDMYMYJnSwlKKiIsDFFgZvIY6AKXmiGSSh0MmZBl8mjXJOI/s640/3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnF_Z49pIqOMatu5OrjfI0cl7429qRwZa_gDXRuubth6Qb0Q6_g-IftpXhCzjNb4vFsdNyhvf71zqKNZ9LJceIQwbS9aE_NDMYMYJnSwlKKiIsDFFgZvIY6AKXmiGSSh0MmZBl8mjXJOI/s72-c/3.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/06/makamu-wa-rais-uzinduzi-wa-dayosisi-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/06/makamu-wa-rais-uzinduzi-wa-dayosisi-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy