Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifungua mkutano ...
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifungua mkutano wa Watendaji Wakuu wa
Wakala za Serikali leo jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Dkt. Laurean Ndumbaro akiongea na Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali
nchini, leo jijini Dar es salaam, kushoto kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah
J. Kairuki (Mb)
Mtendaji
Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao (eGA), Dkt. Jabiri Bakari
akimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani)
alipokuwa akifungua mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali
leo, jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Dkt. Henry Mambo (kushoto)
pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Mick Kiliba wakimsikiliza
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipokuwa
akifungua mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali nchini leo,
jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisikiliza mada pamoja na washiriki
wengine wakati wa mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali
nchini, uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Washiriki
wa mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali nchini wakifuatilia
hotuba ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo
pichani) alipokuwa akifungua mkutano wa Watendaji Wakuu wa Wakala hizo
nchini leo, jijini Dar es Salaam.
COMMENTS