BALOZI KIDATA AMUAGA MAKAMU WA RAIS
HomeJamii

BALOZI KIDATA AMUAGA MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Balozi mpya wa Tanzan...

UFAFANUZI: UMILIKI WA LESENI ZA BIASHARA WA WAZAZI SIO SIFA KUKOSA MKOPO
BALOZI SEIF ALI IDD AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TAPSEA, ZANZIBAR LEO
MAKAMISHNA WASTAAFU POLISI WAAGWA RASMI KWA GWARIDE MAALUM



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada, Balozi Alphayo Kidata, ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Balozi Kidata ambaye aliapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada tarehe 10, Mei 2018 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Balozi Kidata alifika leo kuona Makamu wa Rais na kumuaga rasmi tayari kwa kwenda kulitumikia Taifa kwenye kituo chake kipya cha kazi nchini Canada. 

Makamu wa Rais, Mhe. Samia amempongeza na kumtakia kazi njema ambapo alimtaka kwenda kufanya yale nchi imeelekeza haswa katika kuhakikisha Tanzania inakuwa nchi ya Uchumi wa Viwanda.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Alphayo Kidata aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuaga kabla ya kwenda kwenye kituo chake kipya cha kazi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Alphayo Kidata aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuaga kabla ya kwenda kwenye kituo chake kipya cha kazi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja  na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe. Alphayo Kidata mara baada ya kumaliza mazungumzo ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuaga kabla ya kwenda kwenye kituo chake kipya cha kazi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BALOZI KIDATA AMUAGA MAKAMU WA RAIS
BALOZI KIDATA AMUAGA MAKAMU WA RAIS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXBlHSqsGvUA4cCmfOTtwlEoS_WXgG6wcXW9GuO3A9B0i0T17VOou5Z92l2C50udGJPjQWQLJI5wPLzRmUYpocvyKuNu4g5NxxHMMEXLiVDV54srMTwHAQoAcwLui0FYmiKsIBkDQoLYj8/s640/1-2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXBlHSqsGvUA4cCmfOTtwlEoS_WXgG6wcXW9GuO3A9B0i0T17VOou5Z92l2C50udGJPjQWQLJI5wPLzRmUYpocvyKuNu4g5NxxHMMEXLiVDV54srMTwHAQoAcwLui0FYmiKsIBkDQoLYj8/s72-c/1-2.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/05/balozi-kidata-amuaga-makamu-wa-rais.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/balozi-kidata-amuaga-makamu-wa-rais.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy