MAKAMISHNA WASTAAFU POLISI WAAGWA RASMI KWA GWARIDE MAALUM

Askari wa Kikosi cha Kutuliza ghasia FFU wakitoa heshima wakati  wa gwaride maalam la kuwaaga Makamishna wastaafu wa Jeshi la Polisi, ...




Askari wa Kikosi cha Kutuliza ghasia FFU wakitoa heshima wakati  wa gwaride maalam la kuwaaga Makamishna wastaafu wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve na Elice Mapunda baada ya kustaafu utumishi ndani ya Jeshi la Polisi. Hafla hiyo ilifanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam.


Makamishna wastaafu wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve na Elice Mapunda wakiwaaga Maofisa na Askari Polisi huku wakisukumwa katika gari maalumu wakati wa Gwaride lililoandaliwa kwa ajili ya kuwaaga rasmi baada ya kustaafu utumishi ndani ya Jeshi la Polisi.Gwaride hilo lilifanyika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam


Makamishna wastaafu wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve na Elice Mapunda wakiwaaga Maofisa na Askari Polisi huku wakisukumwa katika gari maalumu wakati wa Gwaride lililoandaliwa kwa ajili ya kuwaaga rasmi baada ya kustaafu utumishi ndani ya Jeshi la Polisi. Gwaride hilo lilifanyika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na IGP Mstaafu Omar Mahita wakati hafla maalum ya kuwaaga  Makamishna wastaafu wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve na Elice Mapunda katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam.




Kamishna Mstaafu wa Polisi Clodwing Mtweve akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake wakati wa hafla maalum ya kumuaga baada ya kustaafu utumishi ndani ya Jeshi la Polisi. Hafla hiyo ilifanyika katika Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam.

Askari wa Kikosi cha Kutuliza ghasia FFU wakitoa heshima wakati  wa gwaride maalam la kuwaaga Makamishna wastaafu wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve na Elice Mapunda baada ya kustaafu utumishi ndani ya Jeshi la Polisi. Hafla hiyo ilifanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akifurahia jambo na Makamishna wastaafu Clodwing Mtweve (katikati) na Elice Mapunda (kushoto) wakati wa hafla maalum ya kuwaaga baada ya kustaafu utumishi ndani ya Jeshi la Polisi. Hafla hiyo ilifanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam


Makamishna wastaafu wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve na Elice Mapunda wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla maalum ya kuwaaga rasmi Jeshini baada ya kustaafu utumishi ndani ya Jeshi la Polisi. Hafla hiyo ilifanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (Picha na Jeshi la Polisi).






COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMISHNA WASTAAFU POLISI WAAGWA RASMI KWA GWARIDE MAALUM
MAKAMISHNA WASTAAFU POLISI WAAGWA RASMI KWA GWARIDE MAALUM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOqC0tmoczLYN29TDUr9LBdC0uxh1mKMUFLEDdjoeH7JV3NBnek_1oMetsxj22Ae1ndraNvUwN_X-wPqqkqaGjOrHRdBit4orqkv4K0CgdvOUPaE0ErZ8fHLDhPsmnFwCycrrq4gOkauc/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOqC0tmoczLYN29TDUr9LBdC0uxh1mKMUFLEDdjoeH7JV3NBnek_1oMetsxj22Ae1ndraNvUwN_X-wPqqkqaGjOrHRdBit4orqkv4K0CgdvOUPaE0ErZ8fHLDhPsmnFwCycrrq4gOkauc/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/05/makamishna-wastaafu-polisi-waagwa-rasmi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/makamishna-wastaafu-polisi-waagwa-rasmi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy