JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO Simu ya Upepo : “ N G O M E ” Makao Makuu ya...
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO
Simu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,
Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,
Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 03 Machi 2017
Tele Fax : 2153426
Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Tovuti : www.tpdf.mil.tz
Wito wa Vyombo vya Habari
Ufunguzi wa kozi ya Kimataifa ya kuandaa Mazoezi ya kivita utafanyika katika kituo cha ulinzi wa amani Kunduchi Dar es Salaam tarehe 06 Machi 2017. JWTZ kwa kushirikiana na Jeshi la Canada wataendesha kozi hiyo.
Hafla ya ufunguzi huo Inatarajiwa kuanza saa mbili kamili asubuhi 2:00, mgeni rasmi atatangazwa baadaye.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mahusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi: 0756-716085

COMMENTS