Jengo la huduma ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Amana Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mhe. Kass...
Jengo la huduma ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Amana Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizindua jengo la huduma ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa-Amana Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo Februari 14, 2018. Wanaoshangilia kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Faustin Ndungulile, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda, na Mbunge wa Ilala Mhe. Mussa Azan Zungu.
COMMENTS