WAZIRI MAHIGA AFANYA MAZUNGUMZO NA WABUNGE WA EALA
HomeJamii

WAZIRI MAHIGA AFANYA MAZUNGUMZO NA WABUNGE WA EALA

Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) leo wamekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

NAIBU BALOZI WA VIJANA WA EAC ATOA SOMO KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU JIJINI ARUSHA
RAIS MAGUFULI AIPA "MENO" TANESCO, ZANZIBAR NA TAASISI NYETI SASA KUKATIWA UMEME KWA MADENI
MAADHIMISHO YA MAHAFALI YA 35 YA CHUO CHA ARDHI MOROGORO YAFANA




Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) leo wamekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga Wizarani mjini Dodoma. Wabunge wa EALA wamewasili mjini Dodoma wakiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya Jumuiya inayotekelezwa na nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Masharaiki.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Wabunge
wa EALA (hawapo pichani)

Katika ziara hii Wabunge wanatembelea miradi inayotekelezwa katika ushoroba wa kati(central corridor)sambamba na kubaini changamoto zinazoikabili miradi hiyo na namna inavyorahisha utoaji huduma kwa wananchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.


Katika mazungumzo yao na Waziri Mahiga, Wabunge wa EALA wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa utekelezaji mzuri wa miradi inayotokana na makubaliano ya Jumuiya kama vile ujenzi wa mizani za kisasa sambamba na kupunguza idadi ya mizani hiyo ili kurahisisha usafirishaji wa bidhaa, hudumu na watu ndani Jumuiya.


Hadi sasa Tanzania kwa upande wa ushoroba wa kati imefanikiwa kupunguza idadi ya vituo vya mizani kutoka vituo saba hadi vitatu.


Kwa upande wake Waziri Mahiga, amewapongeza Wabunge wa EALA kwa kuona umuhimu wa kutembelea miradi ya Jumuiya inayotekelezwa na nchi Wanachama ambayo inagusa maisha ya wananchi moja kwa moja. Aidha amesema katika ziara hii Wabunge wataweza kubaini changamoto zinazowakabili wananchi, hivyo kuwa katika nafasi nzuri ya kuweza kutatua changamoto hizo wakati wa utekelezaji wa majukumu yao Bungeni.



Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Tanzania Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe akizungumza na Waandishi wa Habari walipotembelea ofisi za Wizara mjini Dodoma. Kulia ni Mhe. Wanjiku Muhia kutoka Kenya ambaye pia ni kiongozi wa msafara wa ziara hiyo


Mhe. Adam Kimbisa Mbunge wa EALA (Tanzania) akizungumza wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MAHIGA AFANYA MAZUNGUMZO NA WABUNGE WA EALA
WAZIRI MAHIGA AFANYA MAZUNGUMZO NA WABUNGE WA EALA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhKZ-OLPsJsHFTT1AujI8Yg94uD-97RB6yiiosaQs7O_KNR7RV3Ck6zme95N_roCRSWjj9x3YJgP_zvAKEf5KBLZ1Pt9cntDUD2JzUmtunl2FyUzPEzSsYBc25NeMD0Bfzv5YAtnH4sGbjp/s320/4O3A3848.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhKZ-OLPsJsHFTT1AujI8Yg94uD-97RB6yiiosaQs7O_KNR7RV3Ck6zme95N_roCRSWjj9x3YJgP_zvAKEf5KBLZ1Pt9cntDUD2JzUmtunl2FyUzPEzSsYBc25NeMD0Bfzv5YAtnH4sGbjp/s72-c/4O3A3848.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/waziri-mahiga-afanya-mazungumzo-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/waziri-mahiga-afanya-mazungumzo-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy