Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF ), Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha ya pamoja na vingozi wa dini ya Kiislam, al...
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF ), Jenerali Venance Mabeyo akiwa
katika picha ya pamoja na vingozi wa dini ya Kiislam, alipomtembelea
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Zuberi ofisini kwake mapema leo. Kulia ni Sheikh Mkuu Muft Abubakar Zuberi, Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Ali, Katibu Mstaafu Suleiman Lolila (kushoto aliyesimama) Haidari Kambili, Sheikh Mussa Hemed,
Katibu wa dini Mohammed Hamisi pamoja na Tabu Kawambwa
COMMENTS