KATIBU TAWALA MKOA WA DAR AFUNGUA MAFUNZO YA AWAMU YA TATU YA KAMPENI YA 'TUNAWEZA' JIJINI LEO
HomeJamii

KATIBU TAWALA MKOA WA DAR AFUNGUA MAFUNZO YA AWAMU YA TATU YA KAMPENI YA 'TUNAWEZA' JIJINI LEO

Katibu Tawala wa Mko wa Dar es Salaam, Theresia Mbando, akizungumza wakati akifungua rasmi Mafunzo ya Kampeni ya awamu ya tatu ya...

BALOZI KAIRUKI AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO
WAZIRI MHAGAMA AFUNGA MKUTANO WA 26 WA WANACHAMA NA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF LEO
SPIKA WA BUNGE AFUNGUA MKUTANO WA KAMATI TENDAJI YA CPA KANDA YA AFRIKA







Katibu Tawala wa Mko wa Dar es Salaam, Theresia Mbando, akizungumza wakati akifungua rasmi Mafunzo ya Kampeni ya awamu ya tatu ya 'TUNAWEZA' lenye lengo la kuondoa aina zote za Ukatili wa kijinsia dhidi ya Wanawake, yaliyofanyika leo Nov 8, 2016 kwenye Hoteli ya Jamirex iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam leo.  Kushoto ni Mratibu wa Mafunzo hayo, Rehema Msami, kutoka Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC).


 Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakiwa bize kunakili kile anachokiwasilisha Katibu Tawala wakati wa ufunguzi huo.


 Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakiwa katika mafunzo hayo.
 Katibu Tawala wa Mko wa Dar es Salaam, Theresia Mbando, akizungumza wakati akifungua rasmi Mafunzo ya Kampeni ya awamu ya tatu ya 'TUNAWEZA' lenye lengo la kuondoa aina zote za Ukatili wa kijinsia dhidi ya Wanawake, yaliyofanyika leo Nov 8, 2016 kwenye Hoteli ya Jamirex iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam,leo.  Kushoto ni Mratibu wa Mafunzo hayo, Rehema Msami, kutoka Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC).
 Mratibu wa Mafunzo hayo, kutoka Kituo cha Msaada wa sheria kwa Wanawake (WLAC) Rehema Msami, akifafanua jambo kuhusu mafunzo hayo wakati wa ufunguzi huo.
 Mwanasheria wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake, Karilo Karilo, akizungumza kabla ya mgeni rasmi kufungua mafunzo hayo.


Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KATIBU TAWALA MKOA WA DAR AFUNGUA MAFUNZO YA AWAMU YA TATU YA KAMPENI YA 'TUNAWEZA' JIJINI LEO
KATIBU TAWALA MKOA WA DAR AFUNGUA MAFUNZO YA AWAMU YA TATU YA KAMPENI YA 'TUNAWEZA' JIJINI LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2zdJ3AGt3eFsegMePBMKQ-RoYAZpbEjAmPAy94J4OJLjmgyBazspkIXG6bspxRarogkgoHoNjD492MbcSCKG5CYsCH5E4KRNDo2yo__6-JpMPCtR11DabM8cvi79hLdMXIZMQMG-Ijvgb/s1600/02a.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2zdJ3AGt3eFsegMePBMKQ-RoYAZpbEjAmPAy94J4OJLjmgyBazspkIXG6bspxRarogkgoHoNjD492MbcSCKG5CYsCH5E4KRNDo2yo__6-JpMPCtR11DabM8cvi79hLdMXIZMQMG-Ijvgb/s72-c/02a.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/katibu-tawala-mkoa-wa-dar-afungua.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/katibu-tawala-mkoa-wa-dar-afungua.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy