Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia bonde kuu la Ngorongoro mara baada ya kuwasili tayari kwa Uzinduzi wa Makumbusho Mpya ya Olduvai utakaofanyika kesho tarehe 3, oktoba 2017. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Arusha leo tayari kwa uzinduzi wa Makumbusho Mpya ya Olduvai yatakayofanyika Ngorongoro kesho Oktoba 3, 2017.
Makamu wa Rais alilakiwa na Waziri wa Utalii na Maliasili Profesa Jumanne Maghembe, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo na Viongozi wengine wa chama na Serikali.
Mheshimiwa Samia alipata maelezo ya hifadhi ya Ngorongoro pamoja na kujionea ukubwa wa Bonde Kuu la Ngorongoro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia bonde kuu la Ngorongoro mara baada ya kuwasili tayari kwa Uzinduzi wa Makumbusho Mpya ya Olduvai utakaofanyika kesho tarehe 3, oktoba 2017. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Mhifadhi Dkt. Maurus Msuha mara baada ya kutembelea bonde kuu la Ngorongoro mara baada ya kuwasili tayari kwa Uzinduzi wa Makumbusho Mpya ya Olduvai utakaofanyika kesho Octoba 3, 2017.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Mhifadhi Dkt. Maurus Msuha mara baada ya kutembelea bonde kuu la Ngorongoro mara baada ya kuwasili tayari kwa Uzinduzi wa Makumbusho Mpya ya Olduvai utakaofanyika kesho Oktoba 2017.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mabinti wa Kimasai waliojitokeza wakati wa mapokezi kwenye lango la kuingia kwenye hifadhi ya Ngorongoro ambapo anategemewa kuzindua Makumbusho Mpya ya Olduvai kesho Oktoba 3, 2017.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye hifadhi ya Ngorongoro ambapo anategemewa kuzindua Makumbusho Mpya ya Olduvai kesho Oktoba 3, 2017. Kulia (kwake) Ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Magembe na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya Hifadhi ya Ngorongoro kutoka kwa Msaidizi Mkuu wa Lango Bw. Mansuet Valentine mara baada ya kuwasili kwenye hifadhi ya Ngorongoro, Makamu wa Rais anategemewa kuzindua Makumbusho Mpya ya Olduvai kesho Oktoba 2017.
Loaded All PostsNot found any postsVIEW ALLReadmoreReplyCancel replyDeleteByHomePAGESPOSTSView AllRECOMMENDED FOR YOULABELARCHIVESEARCHALL POSTSNot found any post match with your requestBack HomeSundayMondayTuesdayWednesdayThursdayFridaySaturdaySunMonTueWedThuFriSatJanuaryFebruaryMarchAprilMayJuneJulyAugustSeptemberOctoberNovemberDecemberJanFebMarAprMayJunJulAugSepOctNovDecjust now1 minute ago$$1$$ minutes ago1 hour ago$$1$$ hours agoYesterday$$1$$ days ago$$1$$ weeks agomore than 5 weeks agoFollowersFollowTHIS CONTENT IS PREMIUMPlease share to unlockCopy All CodeSelect All CodeAll codes were copied to your clipboardCan not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy
COMMENTS