RAIS MAGUFULI AIPA "MENO" TANESCO, ZANZIBAR NA TAASISI NYETI SASA KUKATIWA UMEME KWA MADENI
Rais John Pombe Magufuli, akizindua Mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme wa Kilovolti 132kv, mkoani Mtwara leo Machi 5, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. (PICHA NA IKULU)
HomeJamii

RAIS MAGUFULI AIPA "MENO" TANESCO, ZANZIBAR NA TAASISI NYETI SASA KUKATIWA UMEME KWA MADENI

Rais John Pombe Magufuli, akizindua Mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme wa Kilovolti 132kv, mkoani Mtwara leo Mach...

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA MZEE KINGUNGE
IGP SIRRO MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA TCAL
KATIBU MKUU DKT. MARIA SASABO AFUNGA MKUTANO WA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) JIJINI DAR ES SALAAM


NA K-VIS BLOG









RAIS
John Pombe Magufuli, amelipongeza Shirika la Umeme Nchini, (TANESCO) kutokana
na kasi yake ya kusambaza umeme nchini hususan vijijini.




Rais
aliyasema hayo Machi 5, 2017 wakati akizindua Mradi wa ujenzi wa kituo cha
kupoza na kusambaza umeme wa 132kv mkoani Mtwara.




Mradi
huo utakamilika Mei 30, 2017 na kitahudumia mikoa ya Mtwara na Lindi na hivyo
kutatua kero ya upatikanaji umeme kwenye mikoa hiyo ambayo shughuli za kiuchumi
zimeongezeka sana. Awali kituo hicho kwa sasa kina uwezo wa 33kv.




“TANESCO
mmenifurahisha sana kwa kutekeleza vema ilani ya uchaguzi ya CCM, kwa
kuhakikisha wanachi kote nchini wakiwemo wa vijijini wanapatiwa umeme.”
Alisema.




 Rais pia alisema, anatambua changamoto
zinazolikabili shirika hilo hususan madeni ya bili za umeme kwenye taasisi za
serikali.




"Ninaagiza,
wale wote wanaodaiwa bili za umeme na TANESCO, walipe madeni yao haraka,
vinginevyo muwakatie umeme." Alisema Rais.




Alisema
"Hata Ikulu kama inadaiwa we kata, najua pia kuna deni la shilingi Bilioni
 162 Kule Zanzibar, nako kama hawatalipa kateni umeme. tunataka TANESCO
iharakishe kusambaza umeme kwa wananchi sasa wasipolipwa madeni watawezaje
kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi.?". Aliuliza Rais Magufuli. Aidha kutokana
na kufurahishwa na kasi ya TANESCO kusambaza umeme kwenye maeneo Mengi ya nchi,
amesema ofisi yake iko tayari kusaidia fedha pale itakapoonekana kuna mkwamo wa
kifedha katika utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya umeme.
 Rais Magufuli(wapili kushoto), Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo(watatu kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego, Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO, Dkt.Alexander Kiaruzi, na Mwenyekiti wa CCC mkoa wa Mtwara, wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo hicho.
 Rais akiandika kitu, wakati akiteta na Profesa, Muhongo wakati wa uzinduzi huo.
 Rais akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO baada ya kupiganao picha.
 Rais Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia." Najua kule Zanzibar TANESCO inadai karibu shilingi Bilioni 162, nako kama hawatalipa kata umeme" Alisema Rais katika hotuba yake.
 Rais Magufuli na Mmiliki wa kiwanda cha Dangote, Alhaji Aliko Dangote, (walioshika bendera), wakizindua safari za malori hayo ya kubeba saruji.
 Rais Magufuli akipeana mikono na Alhaji Dangote


 Rais akihutubia kwenye hafla ya uzinduzi Wa malori ya Dangote.







Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MAGUFULI AIPA "MENO" TANESCO, ZANZIBAR NA TAASISI NYETI SASA KUKATIWA UMEME KWA MADENI
RAIS MAGUFULI AIPA "MENO" TANESCO, ZANZIBAR NA TAASISI NYETI SASA KUKATIWA UMEME KWA MADENI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhF46XKAzmP6CEmFEUWwKklCbepLyQE9r2dXPHimZtbsOJxbAsEMKCieyVwj3UgJApawsJ4aR-bUiThkjQ0VGQzggVd273DVmQpPBr9VQsbaiHKpmXQBJh-rAys9XyOWcDmQIgMB3RFHlc/s640/11.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhF46XKAzmP6CEmFEUWwKklCbepLyQE9r2dXPHimZtbsOJxbAsEMKCieyVwj3UgJApawsJ4aR-bUiThkjQ0VGQzggVd273DVmQpPBr9VQsbaiHKpmXQBJh-rAys9XyOWcDmQIgMB3RFHlc/s72-c/11.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/rais-magufuli-aipa-meno-tanesco.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/rais-magufuli-aipa-meno-tanesco.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy