TANESCO YATANGAZA KUWEPO KWA KATIZO LA UMEME KWA BAADHI YA MIKOA ILIYOUNGWA KWENYE GRIDI YA TAIFA
HomeJamii

TANESCO YATANGAZA KUWEPO KWA KATIZO LA UMEME KWA BAADHI YA MIKOA ILIYOUNGWA KWENYE GRIDI YA TAIFA

  Mhandisi wa umeme wa Shirika la Umeme nchuini Tanzania TANESCO, akiwa kazini jijini Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanz...

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE NI MKOMBOZI AFRIKA MASHARIKI
MAKAMU WA RAIS APOKEA UJUMBE MAALUM WA WAZIRI MKUU WA LESOTHO KWA NIABA YA RAIS MAGUFULI
WAKANDARASI WA KITANZANIA KUWEZESHA ILI KUFANIKISHA TANZANIA YA VIWANDA








 Mhandisi wa umeme wa Shirika la Umeme nchuini Tanzania TANESCO, akiwa kazini jijini Dar es Salaam


SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatangazia wateja wake wa Mikoa ya Dodoma, Singida, Shinyanga, Tabora, Mwanza,  Geita, Mara, Simiyu na na baadhi ya maeneo ya Mikoa ya
Arusha, Manyara, Kilimanjaro  na Tanga na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Dar es Salaam (Tazara, Mlimani City, Mandela Road, Ubungo na Kimara, Sinza, Mabibo) kuwa yatakosa Umeme siku ya
Jumapili DESEMBA 04, 2016 kuanzia saa 02:00 Asubuhi hadi saa 11.00 Jioni.

SABABU: Kuruhusu Mkandarasi anayejenga Njia Kuu ya Kusafirisha Umeme ya Msongo Mkubwa ya Kilovolti 400 maarufu kama (Backbone Transmission Line 400 kV) kutoka Iringa hadi Shinyanga.



SABABU: Kuzimwa
kwa njia ya Umeme ya Msongo wa Kilovolti 33 Kituo cha Ubungo Dar es Salaam ilikumruhusu Mkandarasi kufanya matengenezo.

Matengenezo hayo yanalenga kuboresha na kuimarisha hali ya upatikanaji wa Umeme Nchini.

                                
Uongozi unaomba
radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na;
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao
Makuu


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TANESCO YATANGAZA KUWEPO KWA KATIZO LA UMEME KWA BAADHI YA MIKOA ILIYOUNGWA KWENYE GRIDI YA TAIFA
TANESCO YATANGAZA KUWEPO KWA KATIZO LA UMEME KWA BAADHI YA MIKOA ILIYOUNGWA KWENYE GRIDI YA TAIFA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1Io_GU9skqWJKphhKZikd4DUVxJBua_ffTOYujTllSjLmQfkayrnATx9LvynN8QGdA3lPJ9lyWKf58JwoX7S39u5-jyJp7RRz8Zlv5vzKEbpGub4-WvGAfDKYMGpJAWTNv0H2fMN9nXM/s640/5R5A1172.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1Io_GU9skqWJKphhKZikd4DUVxJBua_ffTOYujTllSjLmQfkayrnATx9LvynN8QGdA3lPJ9lyWKf58JwoX7S39u5-jyJp7RRz8Zlv5vzKEbpGub4-WvGAfDKYMGpJAWTNv0H2fMN9nXM/s72-c/5R5A1172.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/tanesco-yatangaza-kuwepo-kwa-katizo-la.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/tanesco-yatangaza-kuwepo-kwa-katizo-la.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy