Mhasibu wa Kampuni ya Mkongo wa Mawasiliano kupitia Baharini (Seacom Tanzania) LTD, Michael Mwamlima (kushoto) akimkadidhi, Mkurugen...
Mhasibu wa Kampuni ya Mkongo wa Mawasiliano kupitia Baharini (Seacom Tanzania) LTD, Michael Mwamlima (kushoto) akimkadidhi, Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili MOI, Flora Kimaro box lenye dawa na risiti ya gharama za vipimo, CT SCAN, MRI kwa watoto 25 na dawa na Msaada wa vitu Mbalimbali walivyotoa wenye Thamani ya Sh. Milioni Kumi, wapili kulia ni Meneja wa Ustawi wa Jamii na Uhusiano wa Taasisi hiyo, Jumaa Almasi. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mhasibu wa Kampuni ya Mkongo wa Mawasiliano kupitia Baharini (Seacom Tanzania) LTD, Michael Mwamlima (wa pili kulia) akitowa maelekezo kwa wafanyakazi wenzake mara walipofika katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili MOI kutowa Msaada wenye Thamani ya Sh. Milioni Kumi.
Mtaalam wa Compyuta wa Kampuni ya Mkongo wa Mawasiliano kupitia Baharini (Seacom Tanzania) LTD, Tatu Laizer akimakata mtoto Angel Milanzi 1/11 mara baada yakufika katika WD ya watoto hao, kulia ni mama mzazi wa mtoto huyo, Khadija Shabani (27) na kushoto ni wafanyakazi wenzake na Laizer
Mhasibu wa Kampuni ya Mkongo wa Mawasiliano kupitia Baharini (Seacom Tanzania) LTD, Michael Mwamlima, akizungumza jambo na wazazi wa watoto hao
Mtaalam wa Compyuta wa Kampuni ya Mkongo wa Mawasiliano kupitia Baharini (Seacom Tanzania) LTD, Tatu Laizer (kushoto) akimjulia hali mtoto Angel Milanzi 1/11 mara baada yakufika katika WD ya watoto hao, kulia ni mama mzazi wa mtoto huyo, Khadija Shabani (27)
Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili MOI, Flora Kimaro (kushoto) katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa na Kampuni ya Mkongo wa Mawasiliano kupitia Baharini (Seacom Tanzania) LTD
COMMENTS