JK AFUNGUA MKUTANO WA WATOA HUDUMA ZA AFYA NA WAMILIKI WA VITUO VYA AFYA NA WATAALAMU WA AFYA WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI, JIJINI DAR

Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati akifungua mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wami...


Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati akifungua mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wamiliki wa vituo vya Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje ambao unaogozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu Pamoja na mabalozi na viongozi mbali mbali wa serikalini na sekta binafsi kujadili mustakabali wa sekta ya afya wa Tanzania na nchi shiriki hasa jinsi ya kuboresha sekta binafsi. Mkutano huo wa siku mbili unafanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. 
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa tatu kulia) pamoja na viongozi wengine wa meza kuu wakimshikiliza Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati akitoa hotuba yake katika kufungua mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wamiliki wa vituo vya Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje, unaofanyika kwa siku mbili unafanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya washiriki wa mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wamiliki wa vituo vya Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje ambao unaongozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu Pamoja na mabalozi na viongozi mbali mbali wa serikalini na sekta binafsi kujadili mustakabali wa sekta ya afya wa Tanzania na nchi shiriki hasa jinsi ya kuboresha sekta binafsi. Mkutano huo wa siku mbili unafanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. (Picha na Kajunason, Globu ya Jamii)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: JK AFUNGUA MKUTANO WA WATOA HUDUMA ZA AFYA NA WAMILIKI WA VITUO VYA AFYA NA WATAALAMU WA AFYA WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI, JIJINI DAR
JK AFUNGUA MKUTANO WA WATOA HUDUMA ZA AFYA NA WAMILIKI WA VITUO VYA AFYA NA WATAALAMU WA AFYA WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI, JIJINI DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiw4jJS6MyyQ3XwxcBCeg17SjpUUDUdv7dvRVRAMT9DjJKI32wFLL4reJX0Bo-j-4uYk6aUvaY3ldE8tx0hXGOhssM0Viv1clpEzEj0QN9N5F4kz5S8WmIa5i14BfQ0mHsn00KZaIy-8AA/s640/WhatsApp+Image+2017-07-24+at+11.31.13.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiw4jJS6MyyQ3XwxcBCeg17SjpUUDUdv7dvRVRAMT9DjJKI32wFLL4reJX0Bo-j-4uYk6aUvaY3ldE8tx0hXGOhssM0Viv1clpEzEj0QN9N5F4kz5S8WmIa5i14BfQ0mHsn00KZaIy-8AA/s72-c/WhatsApp+Image+2017-07-24+at+11.31.13.jpeg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/07/jk-afungua-mkutano-wa-watoa-huduma-za.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/jk-afungua-mkutano-wa-watoa-huduma-za.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy