Naibu Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (wa pili kulia) akisalimiana na Bw. Kishor Thakr...
Naibu
Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (wa
pili kulia) akisalimiana na Bw. Kishor Thakrar kutoka Kampuni ya Shree All World Gayarti Pariwar inayohamasisha jamii huru isiyotumia
Dawa za Kulevya, kutunza na kuhifadhi mazingira pamoja na kuwa na
mazoezi ya afya kwa jamii walipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya
kumpatia vitabu vinavyohamasisha jamii iliyo huru, leo jijini Dar es
Salaam.
Bw. Kishor Thakrar kutoka Kampuni ya Shree All World Gayarti Pariwar inayohamasisha jamii huru isiyotumia
Dawa za Kulevya, kutunza na kuhifadhi mazingira pamoja na kuwa na
mazoezi ya afya kwa jamii (kulia) akizungumza na Naibu Waziri Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura alipomtembelea
ofisini kwake kwa ajili ya kumkabidhi vitabu vinavyotoa elimu kwa jamii
juu ya madhara ya Dawa za Kulevya pamoja na uharibifu wa mazingira leo jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura
(wapili kulia) akizungumza na ujumbe kutoka Kampuni ya Shree All World
Gayarti Pariwar inayohamasisha jamii huru isiyotumia Dawa za Kulevya,
kutunza na kuhifadhi mazingira pamoja na kuwa na mazoezi ya afya kwa
jamii walipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kuwasilisha vitabu
wanavyovitumia kutoa elimu hiyo kwa jamii hasa katika shule za msingi na
sekondari leo jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura
(wapili kulia) akipokea vitabu vinavyotumika kuhamasisha jamii hasa
wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari kujiepusha na matumizi ya Dawa
ya Kulevya pamoja na kuhifadhi mazingira kutoka kwa ujumbe kutoka
Kampuni ya Shree All World Gayarti Pariwar inayohamasisha jamii huru
isiyotumia Dawa ya Kulevya, kutunza na kuhifadhi mazingira pamoja na
kuwa na mazoezi ya afya kwa jamii walipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
Bibi.
Sarla Thakrar kutoka Kampuni ya Shree All World Gayarti Pariwar
inayohamasisha jamii huru isiyotumia Dawa ya Kulevya, kutunza na
kuhifadhi mazingira pamoja na kuwa na mazoezi ya afya kwa jamii
(katikati) akimuonyesha Naibu Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Anastazia Wambura (kulia) moja ya vitabu vinavyotumika kuwaongoza
vijana kuwa huru na kuacha kutumia madawa ya kulevya walipomtembelea
ofisini kwake kwa ajili ya kuwasilisha vitabu hivyo ili viweze kutumiwa
na jamii leo jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura
(wapili kulia) akiangalia picha za matukio mbalimbali yanayofanywa na
Kampuni ya Shree All World Gayarti Pariwar inayohamasisha jamii huru
isiyotumia madawa ya kulevya, kutunza na kuhifadhi mazingira pamoja na
kuwa na mazoezi ya afya kwa jamii walipomtembelea ofisini kwake leo
Jijini Dar es Salaam.
Picha na: Genofeva Matemu - WHUSM
COMMENTS