RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH WASALI KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO LA MAGOMENI DAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amepiga magoti na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa la Waadventista Wasabato Ushirika wa Magomeni Mwembechai katika Ibada ya Jumamosi kanisani hapo  jijini Dar es Salaam.
HomeJamii

RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH WASALI KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO LA MAGOMENI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amepiga magoti na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Waumi...

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AHAMISHIA OPERESHENI YA KUWABAINI WAAJIRI WANAOKIUKA SHERIA ZA KAZI MKOANI MOROGORO
TUZO KWA WAANDISHI WA HABARI ZA MAJI ZATANGAZWA
WANAWAKE MSD WATOA MSAADA HOSPITALI YA TEMEKE NA MAKAO YA WATOTO YATIMA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na   mkewe Mama Janeth Magufuli wakiimba nyimbo katika ibada hiyo ya Jumamosi katika Kanisa la Waadventista Wasabato Ushirika wa Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na   mkewe Mama Janeth Magufuli wakisikiliza neno katika Ibada hiyo.


(Juu na chini) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisoma neno pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli kanisani hapo wakati wa Ibada ya jumamosi.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini wa Kanisa la Waadventista la Wasabato Ushirika wa Magomeni Mwembechai  kabla ya kuendesha Harambee ya Ujenzi wa kanisa hilo ambapo zaidi ya Sh. 25milioni ziliahidiwa kukusanywa.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amepiga magoti pamoja na  mkewe Mama Janeth Magufuli wakati wakiombewa sala  na Maaskofu wa Kanisa hilo la Waadventista Wasabato, Sala iliyokuwa ikiongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania Marc Walwa Malekana (wa kwanza kushoto)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakati wakikabidhi mifuko 400 ya Saruji itakayotumika katika ujenzi wa Kanisa hilo la Wasabato la Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mama Navana Cable aliyeambatana na mtoto  wake Rebecca Cable ambao familia yao imeahidi kumalizia ujenzi wa Kanisa hilo la Waadventista la Wasabato mara baada ya Rais Dkt. Magufuli kuendesha Harambee ya Papo kwa papo Kanisani hapo.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonazi mara baada ya kuahidi kuchangia katika kanisa hilo.


Waziri Mstaafu katika awamu iliyopita Steven Wasira naye akitoa ahadi ya mchango wake katika Harambee hiyo Kanisani hapo.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Ndugu Dkt. Edward Hosea Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU mstaafu mara baada ya kuchangia katika ujenzi wa kanisa hilo la Wasabato lililopo Magomeni.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshika mkono mtoto ambaye alikua anamsalimia wakati akitoka ibadani katika kanisa hilo la Magomeni.


Waumini mbalimbali wa Kanisa hilo wakiwa ibadani kama wanavyoonekana pichani. (PICHA NA IKULU)










Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH WASALI KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO LA MAGOMENI DAR
RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH WASALI KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO LA MAGOMENI DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglzzjbiTypzRWT31DBbnJK8qjnf5iwgCSbJ9zR8Nx-rwXZJCaVxDqXnbxluwnYcdzsjhO7ttq5rcJd0cS08CPGV17si_km5F25RBFTT1ylPijGjI6EgxArdIurItE_p1kf6JJybBbwzGU/s640/1..jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglzzjbiTypzRWT31DBbnJK8qjnf5iwgCSbJ9zR8Nx-rwXZJCaVxDqXnbxluwnYcdzsjhO7ttq5rcJd0cS08CPGV17si_km5F25RBFTT1ylPijGjI6EgxArdIurItE_p1kf6JJybBbwzGU/s72-c/1..jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/rais-dkt-magufuli-na-mkewe-mama-janeth.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/rais-dkt-magufuli-na-mkewe-mama-janeth.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy