MAADHIMISHO YA MAHAFALI YA 35 YA CHUO CHA ARDHI MOROGORO YAFANA

Mkuu wa Chuo cha Ardhi – Morogoro, Justo Lyamuya akitoa maelezo ya kina kuhusu matumizi ya kifaa cha upimaji Ardhi kwa baadhi ya waalikwa wa Maafali ya 35 ya Chuo cha Ardhi – Morogoro. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi)
HomeJamii

MAADHIMISHO YA MAHAFALI YA 35 YA CHUO CHA ARDHI MOROGORO YAFANA

Mkuu wa Chuo cha Ardhi – Morogoro, Justo Lyamuya akitoa maelezo ya kina kuhusu matumizi ya kifaa cha upimaji Ardhi kwa baadhi ya w...

IGP SIRRO: KRAUNI ZA POLISI ZIHESHIMIWE
MAFUNZO YA SIKU TANO KWA MADAKTARI YALIYOANDALIWA NA WCF YAFUNGWA JIJINI DAR ES SALAAM
WAZIRI MWAKYEMBE AMKABIDHI WAZIRI SIMBACHAWENE KAMUSI KUU YA KISWAHILI






Mgeni rasmi; Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Moses Kusiluka akifuatilia kwa makini maelekezo ya  Mwanafunzi wa Chuo cha Ardhi – Morogoro, ambaye alikuwa akionyesha jinsi ya kutumia kifaa cha upimaji Ardhi, wakati wa maafali ya 35 ya chuo cha Ardhi – Morogoro.

Mgeni rasmi; Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi;  Dkt. Moses Kusiluka akiwa na baadhi ya viongozi wa chuo, wakiongoza maandamano wakati wa Mahafali ya 35 ya Chuo cha Ardhi - Morogoro.
 

Mgeni rasmi; Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt Moses Kusiluka akitoa hotuba katika maafali ya 35 ya Chuo cha ardhi Morogoro, kushoto kwake ni Desderius Kimbe, na anayemfuatia ni Mkuu wa Chuo cha Ardhi – Morogoro, Justo Lyamuya.

Katika picha ya pamoja na wahitimu na baadhi ya wanafunzi, katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Moses Kusiluka, kushoto kwake ni Desderius Kimbe na  Mkuu wa Chuo cha Ardhi – Morogoro, Justo Lyamuya (kulia kwake). (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot)






Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAADHIMISHO YA MAHAFALI YA 35 YA CHUO CHA ARDHI MOROGORO YAFANA
MAADHIMISHO YA MAHAFALI YA 35 YA CHUO CHA ARDHI MOROGORO YAFANA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilH4Tbo9SE8FTtE453Z7H-gCOj3dXKZqW_x0qUgQY0tC6FgecQm-8k47fjX07mNw5__G4Q3s1BBqyUBaxxQ_MTpUh0NjPAFYkZ9oD3hYSy41ICi_Vi8MoVzwlf6hJrN0fNnqbitj4TZPo/s640/DSC_0175.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilH4Tbo9SE8FTtE453Z7H-gCOj3dXKZqW_x0qUgQY0tC6FgecQm-8k47fjX07mNw5__G4Q3s1BBqyUBaxxQ_MTpUh0NjPAFYkZ9oD3hYSy41ICi_Vi8MoVzwlf6hJrN0fNnqbitj4TZPo/s72-c/DSC_0175.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/maadhimisho-ya-mahafali-ya-35-ya-chuo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/maadhimisho-ya-mahafali-ya-35-ya-chuo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy