RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkurugenzi wa Kisiwa cha Utalii cha Al Marjan R...
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa
na Mkurugenzi wa Kisiwa cha Utalii cha Al Marjan Ras Al Khaimah, Abdullah Al Abdouli
wakitembelea katika moja ya Hoteli zilizo jengwa katika kisiwa hicho cha Kitalii Nchini Ras Al Khaimah. Rais wa Zanzibar akiendelea na ziara yake katika Nchi za Falme za Kiarabu UAE.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa
na Mama Mwanamwema Shein na Viongozi wa Serikali wakipata maelezo ya picha ya majengo ya
mahoteli ya Kitalii yaliojengwa katika eneo la kisiwa hicho cha Al Marjan Nchini Ras Al Khaimah kulia
Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Kisiwa cha Al Marjan Abdullah Al Abdouli, wakisikiliza maelezo ya picha za majengo yaliojengwa
katika kisiwa hicho.

MOJA
ya majengo ya Mahoteli ya Kitalii yaliojengwa katika eneo hilo ka kisiwa hicho
cha Al Marjan Nchini Ras Al Khaimah kama linavyoonekana

UJUMBE
wa Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakitembelea moja ya hoteli ya
kitalii katika Kisiwa cha Kitalii cha Al Marjan Nchini Ras Khaimah katika
ukanda wa kisiwa hicho

COMMENTS