Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro Prof Lughano Kusiluka akisisitiza jambo kwa wanafunzi chuo hicho kitivo cha Sheri...
Mkuu wa chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro Prof, Lughano Kusiluka.
Mvomero Mkoani Morogoro Mohamed Utaly akitoa rai kwa wanafunzi kitizo
cha sheria kuhakikisha wanatoa msaada wa kisheria kwa wananchi bila
malipo kwa kuzingatia kuwa swala walilolianzisha sio la kibiashara kwani
hali za wananchi wanaolengwa ni duni.
COMMENTS