Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza wakiwasili viunga vya ...
Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza wakiwasili viunga vya Ikulu jijini Dar Leo Januari 2, 2018 kumshukuru Rais Magufuli kwa msamaha wake alioutoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia gerezani tangia walipohukumiwa miaka 13 iliyopita.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono na Familia ya Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza wakipata sala ya pamoja,mara baada kuwasili viunga vya Ikulu jijini Dar Leo Januari 2, 2018 kumshukuru Rais Magufuli kwa msamaha wake alioutoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia gerezani tangia walipohukumiwa miaka 13 iliyopita.
COMMENTS