Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Balozi Dk. Lu Youqing kabla ya kuan...
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa
China nchini Tanzania, Mhe. Balozi Dk. Lu Youqing kabla ya kuanza
ziara ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya
kongwa Mkoa wa Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na wanafunzi wa
shule ya sekondari Banyibanyi wakati wa ziara yake ya kukagua miradi
mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.​
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza
wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo
wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma. kulia ni Balozi wa China nchini
Tanzania, Mheshimiwa Balozi Lou Youqing na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya
kongwa, Mheshimiwa Deogratius Ndejembi.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia) akiongozana na Balozi
wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Dkt. Lu Youqing wakati wa ziara
yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa
Mkoa wa Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia) akitembelea shule ya msingi
ya Ibwaga, shule aliyosoma wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali
mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma. Mwenye shati juepe ni Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Dk Lu
Youqing.
COMMENTS