MAKALA; SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI
Mwanasheria; Rachel Kilasi - Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , akifafanua sheria ya Ardhi na. 4 ya mwaka 1999 sambamba na Umiliki wa Ardhi (Haki, Wajibu na uzingatiaji wa ulipaji wa Pango la Kodi ya Ardhi kwa Mmiliki).
HomeJamii

MAKALA; SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI

Mwananchi yoyote ana haki ya kupatiwa Hatimiliki ambayo ni nyaraka halali ya umiliki wa ardhi baada ya kupata ridhaa ya Kamishna au Kama...

HOJA YA HAJA: UTANDAWAZI WA UCHUMI NCHINI TANZANIA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA YAKE MDOGO MHE JAKAYA KIKWETE
WABUNGE WAPAZA SAUTI KUHUSU UZAZI WA MPANGO, KUPUNGUZA VIFO VINAVYOTAKANA NA UZAZI NA KUPANGA MAENDELEO TAIFA


Mwananchi yoyote ana haki ya kupatiwa Hatimiliki ambayo ni nyaraka halali ya umiliki wa ardhi baada ya kupata ridhaa ya Kamishna au Kamati na kulipa ada stahili. Hatimiliki hutolewa ndani ya siku 90 mpaka 180 baada ya ridhaa husika.


Katika fungu la 32 la Sheria ya Ardhi ya namba 4 ya mwaka 1999, masharti ya umiliki wa ardhi yanaainishwa kuwa ni ya aina tatu, ambayo ni; Umiliki wa miaka 33, umiliki wa miaka 66 na umiliki ulio mkubwa zaidi ni wa miaka 99.
Aidha, katika fungu la 33 la Sheria ya Ardhi ya namba 4 ya mwaka 1999, inaeleza sharti la mmiliki wa ardhi katika kutoa malipo ya pango la Ardhi kwa kila mwaka wa fedha unapoanza.
Mwananchi hana budi kutimiza masharti ya ulipaji kodi ya pango la Ardhi kwa wakati. Mwananchi anapokiuka sharti hili; fungu la 49 – 50 la Sheria ya Ardhi ya namba 4 ya mwaka 1999 inaeleza gharama zake ni pamoja na  kutozwa tozo au riba, Kupelekwa Mahakamani na Kufutiwa umiliki wa ardhi.

Mwananchi zingatia ulipaji wa Kodi la Pango la Ardhi, kutimiza wajibu wako, kuondoa usumbufu na kuongeza pato la Taifa Letu.

(Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi)


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKALA; SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI
MAKALA; SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEixKYj9-URrx2_cQaiaa8YhyphenhyphenfCyw6nHAliATzP5YdH3FIpxbUtRycHwpqu_pSIjK7LS-ahXwRicntICKl-D6cG9fhJWffFSr2rCUYQFcL_70_7eUW1f2Qg7WbHbP-CmOrpTU8nAFDQTTOE/s640/SHERIA+YA+ARDHI+NA+4+1999..png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEixKYj9-URrx2_cQaiaa8YhyphenhyphenfCyw6nHAliATzP5YdH3FIpxbUtRycHwpqu_pSIjK7LS-ahXwRicntICKl-D6cG9fhJWffFSr2rCUYQFcL_70_7eUW1f2Qg7WbHbP-CmOrpTU8nAFDQTTOE/s72-c/SHERIA+YA+ARDHI+NA+4+1999..png
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/makala-sheria-isemavyo-kuhusu-haki-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/makala-sheria-isemavyo-kuhusu-haki-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy