Baadhi ya washiriki wa Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Baloz...
 |
Baadhi ya washiriki wa Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi wakati alipohutubia kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Ruangwa Disemba 1, 2017.

Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya (wa pili kushoto) na kulia ni Mwenyekiti wa Wanawake Waislaam, Shamim Khan wakati alipowasili kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala kushiriki katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S. A.W). Mgeni Rasmi kaaika Baraza hilo alikuwa ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi. |
 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mgeni Rasmi katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W), Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Ruangwa Desemba 1, 2017.
|
 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mgeni Rasmi katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W), Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi kuingia kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Rungwa Desemba 1, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mgeni Rasmi katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W), Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Ruangwa Desemba 1, 2017. Kushoto ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubeiry Ally. |
 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mgeni Rasmi katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W), Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Ruangwa Desemba 1, 2017.
|
|
 |
Baadhi ya washiriki wa Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi wakati alipohutubia kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Ruangwa Disemba 1, 2017.
|
 |
Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubeiry Ally akiongea katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W), kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Rungwa Desemba 1, 2017.
|
|
 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Rungwa Disemba 1, 2017. Mgeni Rasmi katika Maulidi hayo alikuwa ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi. |
 |
Mgeni Rasmi katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W), Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akiongea katika maadhimisho hayo kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Rungwa Desemba 1, 2017. |
 |
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (wa pili kushoto) na baadhi ya Viongozi walioshiriki katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) wakimsikiliza Mgeni Rasmi Balozi Seif Ali Iddi wakati alipiwahutubia kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Ruangwa Disemba 1, 2017. Wengine kutoka (kushoto) ni Mwenyekiti wa Wanawake Waislaam Tanzania, Shamim Khan, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Ikupa Stella Alex , Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya na Mbunge wa Viti Maalum, Hamida Muhammad Abdallah.
|
 |
Baadhi ya washiriki wa Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi wakati alipohutubia kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Ruangwa Disemba 1, 2017.
|
 |
Askofu Mkuu, Bruno Ngonyani wa Jimbo Katoliki la Lindi akizungumza katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala wilayani Ruangwa, Desemba 1, 2017. |
 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia washiriki wa Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) baada ya kushiriki Baraza hilo kwenye uwanja wa Shukle ya Msingi Likangala wilayani Ruangwa Disemba 1, 2017.
|
 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Wanawake Waislaam Tanzania, Shamim Khan baada ya kushiriki Katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W) kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likanglal wilayani Ruangwa Desemba 1, 2017.
|
COMMENTS