ZAIDI YA WAKAZI 5,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA USAMBAZAJI MAJISAFI KIMARA KILUNGULE B JIJINI DAR
HomeJamii

ZAIDI YA WAKAZI 5,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA USAMBAZAJI MAJISAFI KIMARA KILUNGULE B JIJINI DAR

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Kisare Makori akizungumza wakati wa uzindulizi mradi wa usambazaji majisafi wa Shirika la Majisafi na Majitak...

MAKAMU WA RAIS AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA MIRADI YA UKUTA WA BAHARI KATIKA ENEO LA KIGAMBONI NA OCEAN ROAD
KAMATI YA RAIS YA KUCHUNGUZA BIASHARA YA MADINI YA TANZANITE YAANZA MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA TANZANITE ONE
TAARIFA; NAFASI ZA MAKAMU MWENYEKITI NA MAKAMISHNA WA NEC YAMESHATOLEWA

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Kisare Makori akizungumza wakati wa uzindulizi mradi wa usambazaji majisafi wa Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (DAWASCO), katika eneo la Kilungule B. Zaidi ya wakazi 5000 wanatarajia kunufaika na mradi huo. Kutoka kushoto ni Meneja wa DAWASCO - Kimara, Paschal Fumbuka na Kulia kwa Mkuu wa Wilaya ni Diwani wa Kata ya Kimara, Paschal Manota. Diwani wa Kimara, Paschal Manota akizungumza wakati wa uzindulizi mradi wa usambazaji majisafi wa Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (DAWASCO), katika eneo la Kilungule B. Zaidi ya wakazi 5000 wanatarajia kunufaika na mradi huo. Kutoka kushoto ni Meneja wa DAWASCO - Kimara, Paschal Fumbuka na Kulia kwa Mkuu wa Wilaya ni Diwani wa Kata ya Kimara, Paschal Manota.

Meneja wa DAWASCO - Kimara, Paschal Fumbuka akitoa ufafanuzi juu ya mradi huo ambao umezinduliwa leo eneo la Kilungule B, ambapo walikuwa hawakuwahi kuipata huduma hiyo kwa miaka 20. Aliongeza kuwa utekelezaji wa mradi huo ni moja ya hatua zinazofanywa na Dawasco Mkoa wa Kimara katika kuondoa kero ya ukosefu wa huduma ya Maji katika maeneo yasiyo kuwa na huduma hiyo kwenye Mkoa huo.



Wananchi waliohudhuria uzinduzi huo wakifuatilia kwa makini.


Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Kisare Makori akiwa ameongozana na Diwani wa Kimara, Paschal Manota na Meneja wa Dawasco - Kimara, Paschal Fumbuka pamoja na wananchi wa eneo la Kilungule B kuelekea kuzindua mradi huo.

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Kisare Makori pamoja na Diwani wa Kimara, Paschal Manota wakizindua mradi wa usambazaji majisafi wa Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (DAWASCO), katika eneo la Kilungule B. Zaidi ya wakazi 5000 wanatarajia kunufaika na mradi huo.

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Kisare Makori pamoja na Diwani wa Kimara, Paschal Manota wakifurahia.

Majiiiiiiiiiiiiiiiiii hayo...


Akina mama wakifurahi maji.

Maneja akitoa neno la shukrani mara baada ya uzinduzi wa mradi huo.

Wakazi wa Kilungule B wakichota maji mara baada ya zoezi la uzinduzi kufanyika.


Wananchi wakijiandisha ili waweze kupimiwa maeneo yao wapatiwe maji.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ZAIDI YA WAKAZI 5,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA USAMBAZAJI MAJISAFI KIMARA KILUNGULE B JIJINI DAR
ZAIDI YA WAKAZI 5,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA USAMBAZAJI MAJISAFI KIMARA KILUNGULE B JIJINI DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2EeHgjzhKDftRGHvNVDgIMOCgOge124IwT9jRgVVRcaQcOjk9ApUTm3F7mwtcmnnNHYWl6iA6vBxSG2dkwA_ocgGzcQjS8itVUFhXDvspDZ1c_wuueMy7eEzFd6Teqh2YAKac_99EWL0/s640/IMG_9311.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2EeHgjzhKDftRGHvNVDgIMOCgOge124IwT9jRgVVRcaQcOjk9ApUTm3F7mwtcmnnNHYWl6iA6vBxSG2dkwA_ocgGzcQjS8itVUFhXDvspDZ1c_wuueMy7eEzFd6Teqh2YAKac_99EWL0/s72-c/IMG_9311.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/zaidi-ya-wakazi-5000-kunufaika-na-mradi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/zaidi-ya-wakazi-5000-kunufaika-na-mradi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy