Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa TPSF Dkt....
Waziri wa Fedha na
Mipango Dkt. Philip Mpango akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa
TPSF Dkt. Reginald Mengi pamoja na makamu mwenyekiti TPSF, Salum
Shamte.
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (wa pili kushoto), Dkt Philip Mpango Waziri wa fedha na Mipango, Mwenyekiti TPSF, Dkt. Reginald Mengi (kulia) pamoja na
Makamu mwenyekiti TPSF, Salum Shamte wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya washiriki wa Kikao cha majadiliano baina ya serikali na sekta binafsi.
COMMENTS